Wimbo wa Hamornize-Niambie upo hewani

Sijawah kununua wimbo, as long as I can get any song whenever I want.

Jioni tu utaukuta youtube
 
Mia tatu ya nini? Wimbo wenyew hauna tofauti na za mondi. Maneno tuu ndiyo tofauti.
Nitumie MB zangu bado mia 3 tena? Sio kwa usawa huu .
 
Hata kama ni kuendeleza wasanii wa nyumbani aaaaah wee... sitoi mia 3 mm
 
Siwezi fanya ujinga wa kununua nyimbo, bora nisikilize kwaya kama vipi
 
Ninunue wimbo bubble gum unasikiliza leo kesho huna hamt nao tena
 
Tupo bize na hamorapa kiboko ya mabishoo
 
Reactions: lcm
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…