princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,687
- 19,357
acha chuki ndugu, mziki mzuri lazima tusemeMzuri kwako ndyo umekuja kuupa promo jf
hata Mimi nimeupendaNimeusikiliza ni wimbo mzuri pongezi kwake!
ndio nashangaa..Hiyi ngoma ilitoka muda Sana sema wabongo tupo bize na hizi timu zetu
hapanaKundi lao nasikia lipo taaban wakati muda huu ilikuwa kupga show kwa sanaa
Sana.Wimbo umetoka unagonga miezi 3 sasa... Thoug ni wimbo mzuri na niliupenda since day one
na kuna mpya ametoa wiki iliyopita, ni mzuri piaSana.
aslay kaimba jamani
mwenzangu mimi pia katika pita pita ndio nikaufuma nikasema nilikuaga wapiMe nimeanza kuusikia juzi, kila muda baby brod anauimba, ni mzuri kwa kweli
nap sijpata nafasi ya kuusikiana kuna mpya ametoa wiki iliyopita, ni mzuri pia
Aslay- Rudinap sijpata nafasi ya kuusikia
unaitwaje....
nausikiaga nusu nusu tu
ngoja niutafuteAslay- Rudi