Wimbo: Ingia Furahani Kwake Bwana

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Posts
9,016
Reaction score
9,562
Wadau wa nyimbo za Kwaya kuna huu wimbo unaimba hivi '' ingia ingia iiiingia furahani kwake Bwana..."

Nimeusikia leo kwenye redio, nadhani ni Kwaya Katoliki au inayoendana na hizo.
Naomba anayefahamu jina lake na umeimbwa na Kwaya ipi. Akhsante!
 
Huo wimbo umeimbwa na Kwaya ya KKKT Usharika wa Kimara,ni wimbo bora na mkongwe sana huo.
 
Wadau wa nyimbo za Kwaya kuna huu wimbo unaimba hivi '' ingia ingia iiiingia furahani kwake Bwana..."

Nimeusikia leo kwenye redio, nadhani ni Kwaya Katoliki au inayoendana na hizo.
Naomba anayefahamu jina lake na umeimbwa na Kwaya ipi. Akhsante!
Kama uko Dar pitia vibanda wanavyouza CD za nyimbo na ulizia Albamu za Kwaya Kuu Kimara. KKKT, nina hakika utaupata.

Vv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…