Wimbo huu wa Papa Wemba...

The Boss. huo hapo wa 'Rail on' amekuwekea Bala.

Naupenda ipasavyo huo wimbo...

Machozi yangu yote namalizika, mie nitalala na nani we unaenda.

Mie mpaka ni mawazo wow wooo, mie mpaka nikuwaza waza we unaenda unaendaaaa

Kama ile njia yako enda, kama ni maisha yako fata weeee dada..Rail on

Rail on x 3…think that’s the way

Rail on x 3…think that’s the way
 


Dah yaani hunizidi mimi
amefanya lugha ya kiswahili iwe so romantic na huu wimbo
wimbo mtamu sana...

thanx kwa lyrics...
 
Hii ndio video uliyoiona Azam TV Bossman


Mkuu Bala thanks
yaani najiuliza why nyimbo kama hizi ziko very very few
yaani unausikiliza unakuteka kabisa...unam feel maumivu yake...
 
Dah yaani hunizidi mimi
amefanya lugha ya kiswahili iwe so romantic na huu wimbo
wimbo mtamu sana...

thanx kwa lyrics...

Enjoy my Boss 🙂 ni kweli umekuwa romantic kwa kiswahili.
Sijamalizia lyrics. utapata Youtube kuna lyrics video. Rail on!!
 
Dah yaani hunizidi mimi
amefanya lugha ya kiswahili iwe so romantic na huu wimbo
wimbo mtamu sana...

thanx kwa lyrics...
Tunaipoteza historia taratibu, kwa kujitoa ufahamu na tamaduni ya "mambo leo"
 
Wimbo hauitwi welloon.......unaitwa RAIL ON...... .wabongo kwa kutohoa......ha ha ha ha ha ha...
 
Kuna huu na nyimbo nyingine za Lokua Kanza ameimba Kiswahili...Ni nzuri sana sema zinapuuzwa tu...Hazipewi airtime




Lokua kanza....ukiujua muziki lazima umkubali tu...thanks mkuu
 
Hizo nyimbo nyingine kwa kiswahili nzuri mno. ooh Africando nimeipenda hiyo salsa ya kiswahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…