Kesi inaendelea,tunaangalia live bila chenga...kwa mashtaka haya sizani kama bw Ruto atasalimika.upande wa mashtaka wameonya, ''wale wanatemper na mashahidi watachukuliwa hatua za kisheria'' huyu steynberg na huyu mama wamejipanga kuwaangamiza kabisa
Kiswahii kinakupiga chenga sio. Sasa wewe, mimi niandike kwa Kiswahili halafu wewe unijibu kwa Kiingereza. Bado unaamini unaeleweka zaidi kama utatumia lugha hiyo?
Interesting, it is day one and you are already drawing conclusions. There are several days a head. Why don't you just sit back and follow proceedings. There is no doubt where you stand in this case.
Interesting, it is day one and you are already drawing conclusions. There are several days a head. Why don't you just sit back and follow proceedings. There is no doubt where you stand in this case.
Heee! Wewe vipi hautaki tuchangie eeh,au kwa kuwa they are your masters..hahahaha pole icc hakuna porojo,acheni siasa kwenye mambo ya sheria.kama vipi uhuru asiende mahakamani.nyie si wababe .
It is in the best interest of everyone that justice prevails. This is true even for the accused. For this reason we can only sit back and watch the unfolding turn of events without passing judgements yet. After all how do we know if the accused were not framed for political expediency?
na wewe ni mvuta bangi!Wadau naomba kujua kilichojiri huko the hague kuhusu kesi ya ruto iliyokuwa inaendelea leo
mpaka muda huu sina updates
Wadau naomba kujua kilichojiri huko the hague kuhusu kesi ya ruto iliyokuwa inaendelea leo
mpaka muda huu sina updates
Sawaa, nimekuelewa!Sijakuelewa mkuu, kuna nyuzi nyingi hapa ambazo hatujaweka mawazo yetu hadharani; mbona wakimbilia kutualikia hii?
Your language? Ndio unavyoamini hivyo?Why don't you just pass your message without attacking my language. After all you understand what i mean. If you are a guru in Kiswahili then why don't venture in to writing set books for schools. You could earn handsomely.
Your language? Ndio unavyoamini hivyo?
Bado una safari ndefu. Zinduka, tafakari; chukua hatua!You cant lay any claim on kiswahili either, does it make it any less your language?