Will Kagame and Uhuru attend Mandela's burial ceremony



Join Date: 7th December 2013.....hivi unadhani ukibadili ID yako ndio watu watakusikiliza? Halafu posts zako zote 99% ni anti-kagame...obviously tunajua ni nani amekutuma lakini hatukosi usingizi...pigeni kelele huko nje mpaka mchoke lakini sisi hapa tunachanja mbuga.
 

Sasa hii ni nini. Yani mtu amekaa akafkiria kupost ujinga kama huu. When will some people ever learn?
 

sasa mpo uchi wa mnyama, hamna wa kumdanganya tena ni lazima uhuru wa kweli upatikane rwanda.
 

hivi kwanini unaumia sana linapotajwa neno haki kwa jamii zinazonyanyaswa na watusi?
 
Unajua yeye sio mtu wa kuuza sura kama some people that I know. Utadhani wanagombea u miss. Kazi kwanza. Kazi ya kuwatumikia Wanyarwanda halafu mengine hayo ya kuuza sura baadae.

kule congo alipokua ana terorrise women and children and plunder congolese resources through his proxy group M23 ndio kulikua kutumikia wanyarwanda???

kagame is the african hitler!!!
 
wewe tumeshakuzoea hapa, vipi millitary wing ya m 23 mmeipachika jina gani baada ya kula kichapo cha mbwa mwizi kule goma

Kabla ya kujiita majeshi1981 ulikuwa unatumia jina gani? mokala1989? au ni rushasha? kwa nini unabadili majina kila siku? hujiamini au ni uoga?
 
Kagame asingeweza kuhudhuria msiba wa Mandela..... Maana ulikuwa msiba wa mtu asiye penda visasi kwa yeyote aliyemfanyia ubaya.... Kitu ambacho Paulo Kagame hawezi....... yeye anawaza visasi tu.... hata ukimshauri kitu....kama ushauri wako haupendi basi lazima anafikiria jinsi ya kulipiza kisasi kwa sababu ulimshauri kitu asichopenda.....

Hivyo Paulo Kagame si muumini wa kusmehe na kusahau yaliyopita.
 
Hii analysis kawapelekee scholars wenzako wa madrasa uliposoma.
 
Kagame is technically imprisoned. Kifungo cha nyumbani
 
Hii analysis kawapelekee scholars wenzako wa madrasa uliposoma.

Lakini hii hapa sikumletea Koba niliileta kwa wengine ambao wanaona mambo kwa upana zaidi....... na wana mawazo yenye usawa...... hawaongozwi na ushabiki au mapenzi kuelekea mtu au kitu fulani.

Lingine...... sipendelei matusi na dharau hapa jukwaani..... maana lengo kubwa ni kuelimisha na kujielimisha.....

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…