Wakati watanzania tunalalamika na kuona Wikileaks kama ni mtandao usiokuwa na tija kwa kufunua uozo serikalini, baadhi ya mataifa kama Australia wanaanza kuwapa heshima stahiki kwa kusaidia serikali kuweka mambo sawa katika enzi hizi za mfumo wa utandawazi.