Ni week tatu sasa tangia tarehe ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma walipotakiwa kupaja fedha zao za kujikimu lakini mpaka sasa kimya.
Bodi pia wako kimya uongozi wa chuo nao uko kimya wanafunzi hawajui hata tatizo ni nani kati ya Chuo na Heslb
hali mbaya zaidi kwa dada zetu japo angalau Bunge lipo basi hawakosi pale wanapoingia mtaani
wanaume wenyewe ni mwendo wa kupiga Lampard maana saa kumi na moja mpaka kesho yake saa kumi na moja
Test nazo ndo zimepamba kupamba moto na njaa imepamba moto
ukijaribu kuulizia tu boom unachukuliwa usiku usiku
dah kweli hali mbaya!!!
Hii ndo hali ya udom kwa sasa.......
vumilia boom likichelewa kuna faida zake, coz unajibana mwisho wa siku utapata pesa ya kuja uraiani itakusaidia kutembea na bahasha kwa miezi miwili, sio ufike tu kitaa uanze kuomba kwa mzazi
Duh! kumbe UDOM nako wanapewa BOOM,kwani ni chuo kikuu?
Hapo kwenye nyekundu - unapelekwa wapi?
ili mkakeshe bar siyo?ni week tatu sasa tangia tarehe ya wanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma walipotakiwa kupaja fedha zao za kujikimu lakini mpaka sasa kimya.
Bodi pia wako kimya uongozi wa chuo nao uko kimya wanafunzi hawajui hata tatizo ni nani kati ya chuo na heslb
hali mbaya zaidi kwa dada zetu japo angalau bunge lipo basi hawakosi pale wanapoingia mtaani
wanaume wenyewe ni mwendo wa kupiga lampard maana saa kumi na moja mpaka kesho yake saa kumi na moja
test nazo ndo zimepamba kupamba moto na njaa imepamba moto
ukijaribu kuulizia tu boom unachukuliwa usiku usiku
dah kweli hali mbaya!!!
Hii ndo hali ya udom kwa sasa.......
Arooooo....mbwa ha
Duh! kumbe UDOM nako wanapewa BOOM,kwani ni chuo kikuu?
Ni week tatu sasa tangia tarehe ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma walipotakiwa kupaja fedha zao za kujikimu lakini mpaka sasa kimya.
Bodi pia wako kimya uongozi wa chuo nao uko kimya wanafunzi hawajui hata tatizo ni nani kati ya Chuo na Heslb
hali mbaya zaidi kwa dada zetu japo angalau Bunge lipo basi hawakosi pale wanapoingia mtaani
wanaume wenyewe ni mwendo wa kupiga Lampard maana saa kumi na moja mpaka kesho yake saa kumi na moja
Test nazo ndo zimepamba kupamba moto na njaa imepamba moto
ukijaribu kuulizia tu boom unachukuliwa usiku usiku
dah kweli hali mbaya!!!
Hii ndo hali ya udom kwa sasa.......
unasaidiwa kutolewa nje ya eneo la chuo na mabegi yako na mwisho ujue umefika