nurdi JF-Expert Member Joined Jan 17, 2013 Posts 256 Reaction score 71 Dec 18, 2014 #1 Wakuu nahitaji wifi router nzuri,yenye gharama nafuu ambayo inaingia moderm ya mitandao mbalimbali.shukrani natanguliza
Wakuu nahitaji wifi router nzuri,yenye gharama nafuu ambayo inaingia moderm ya mitandao mbalimbali.shukrani natanguliza
Njunwa Wamavoko JF-Expert Member Joined Aug 11, 2012 Posts 5,757 Reaction score 2,388 Dec 18, 2014 #2 nurdi said: Wakuu nahitaji wifi router nzuri,yenye gharama nafuu ambayo inaingia moderm ya mitandao mbalimbali.shukrani natanguliza Click to expand... inauzwa 52,000/=
nurdi said: Wakuu nahitaji wifi router nzuri,yenye gharama nafuu ambayo inaingia moderm ya mitandao mbalimbali.shukrani natanguliza Click to expand... inauzwa 52,000/=
nurdi JF-Expert Member Joined Jan 17, 2013 Posts 256 Reaction score 71 Dec 19, 2014 Thread starter #3 njunwa wamavoko said: inauzwa 52,000/= Click to expand... Ahsante.inauzwa wapi?
Mwana Ilala JF-Expert Member Joined Jan 29, 2013 Posts 1,286 Reaction score 488 Dec 21, 2014 #4 Pata hii Router Msimu huu wa Sikukuu kwa Bei Poa Price: 65,000/- Call: 0715240140
C cyber ghost JF-Expert Member Joined May 8, 2015 Posts 239 Reaction score 162 Apr 22, 2016 #5 Mwana Ilala said: View attachment 212891View attachment 212892 Pata hii Router Msimu huu wa Sikukuu kwa Bei Poa Price: 65,000/- Call: 0715240140 Click to expand... Nahitaji hiyo router ila nataka kujua speed yake na unapatikana wapi??
Mwana Ilala said: View attachment 212891View attachment 212892 Pata hii Router Msimu huu wa Sikukuu kwa Bei Poa Price: 65,000/- Call: 0715240140 Click to expand... Nahitaji hiyo router ila nataka kujua speed yake na unapatikana wapi??
Mwana Ilala JF-Expert Member Joined Jan 29, 2013 Posts 1,286 Reaction score 488 Apr 22, 2016 #6 Niko Ilala Mkuu. Near Lamada Htl
likeness Senior Member Joined Feb 9, 2014 Posts 153 Reaction score 42 Apr 23, 2016 #7 TP Link Wifi Router3420 Supports 3G/4G modem and Radio.4LAN ports.Transfer speed 300MB/s source jumia
TP Link Wifi Router3420 Supports 3G/4G modem and Radio.4LAN ports.Transfer speed 300MB/s source jumia
Babu_Jr Senior Member Joined Apr 13, 2016 Posts 114 Reaction score 26 Apr 23, 2016 #8 Yani napat full package hiyoo
the boss13 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2013 Posts 422 Reaction score 215 Apr 23, 2016 #9 Hiyo ni ile unaweza ukaicharge unatembea nayo nlikuwa nahitaji pia inayo ingia line zote
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,070 Reaction score 43,515 Apr 23, 2016 #10 the boss13 said: Hiyo ni ile unaweza ukaicharge unatembea nayo nlikuwa nahitaji pia inayo ingia line zote Click to expand... -airtel wanauza modem ya wifi 40,000 -nunua power bank ya maana kwa 50,000 -chomeka modem yako kwenye powerbank magic!!! una router inakaa siku nzima na charge, na hujalipa kiasi kikubwa. sina uhakika kama modem za wifi za airtel zinachakachulika
the boss13 said: Hiyo ni ile unaweza ukaicharge unatembea nayo nlikuwa nahitaji pia inayo ingia line zote Click to expand... -airtel wanauza modem ya wifi 40,000 -nunua power bank ya maana kwa 50,000 -chomeka modem yako kwenye powerbank magic!!! una router inakaa siku nzima na charge, na hujalipa kiasi kikubwa. sina uhakika kama modem za wifi za airtel zinachakachulika
the boss13 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2013 Posts 422 Reaction score 215 Apr 24, 2016 #12 Chief-Mkwawa said: -airtel wanauza modem ya wifi 40,000 -nunua power bank ya maana kwa 50,000 -chomeka modem yako kwenye powerbank magic!!! una router inakaa siku nzima na charge, na hujalipa kiasi kikubwa. sina uhakika kama modem za wifi za airtel zinachakachulika Click to expand... Mkwawa shukrani hiyo naweza nika move nayo popote Na device nazoweza kushare nazo ningap Na wana vifurush maalum kwa hizo wifi
Chief-Mkwawa said: -airtel wanauza modem ya wifi 40,000 -nunua power bank ya maana kwa 50,000 -chomeka modem yako kwenye powerbank magic!!! una router inakaa siku nzima na charge, na hujalipa kiasi kikubwa. sina uhakika kama modem za wifi za airtel zinachakachulika Click to expand... Mkwawa shukrani hiyo naweza nika move nayo popote Na device nazoweza kushare nazo ningap Na wana vifurush maalum kwa hizo wifi
Babu_Jr Senior Member Joined Apr 13, 2016 Posts 114 Reaction score 26 Apr 24, 2016 #13 Hapan hiyo unapata access kama picha inavyo onyesha n ni universal networks n pia unaweza chomeka tethered nyaya ili kupat net n ukawa unawa sambazia wengine
Hapan hiyo unapata access kama picha inavyo onyesha n ni universal networks n pia unaweza chomeka tethered nyaya ili kupat net n ukawa unawa sambazia wengine
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,070 Reaction score 43,515 Apr 24, 2016 #14 the boss13 said: Mkwawa shukrani hiyo naweza nika move nayo popote Na device nazoweza kushare nazo ningap Na wana vifurush maalum kwa hizo wifi Click to expand... yap kokote unaenda nayo na vifurushi ni vya kawaida tu vya kila siku, sina uhakika device ngapi utashare ila hazishuki 5 itakuwa around 5 hadi 10.
the boss13 said: Mkwawa shukrani hiyo naweza nika move nayo popote Na device nazoweza kushare nazo ningap Na wana vifurush maalum kwa hizo wifi Click to expand... yap kokote unaenda nayo na vifurushi ni vya kawaida tu vya kila siku, sina uhakika device ngapi utashare ila hazishuki 5 itakuwa around 5 hadi 10.
ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,291 Apr 24, 2016 #15 nurdi said: Wakuu nahitaji wifi router nzuri,yenye gharama nafuu ambayo inaingia moderm ya mitandao mbalimbali.shukrani natanguliza Click to expand... Kuna hii hapa TENDA 4G/3G router with inbuilt powerbank. Inapatikana kwa 75000/- http://files.tendacn.com/uploadfile/2013125/201312051702079176.jpg http://g-ec2.images-amazon.com/images/G/31/electronics/467.01.jpg
nurdi said: Wakuu nahitaji wifi router nzuri,yenye gharama nafuu ambayo inaingia moderm ya mitandao mbalimbali.shukrani natanguliza Click to expand... Kuna hii hapa TENDA 4G/3G router with inbuilt powerbank. Inapatikana kwa 75000/- http://files.tendacn.com/uploadfile/2013125/201312051702079176.jpg http://g-ec2.images-amazon.com/images/G/31/electronics/467.01.jpg
storyteller JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 1,544 Reaction score 1,873 Apr 24, 2016 #16 Chief-Mkwawa said: -airtel wanauza modem ya wifi 40,000 -nunua power bank ya maana kwa 50,000 -chomeka modem yako kwenye powerbank magic!!! una router inakaa siku nzima na charge, na hujalipa kiasi kikubwa. sina uhakika kama modem za wifi za airtel zinachakachulika Click to expand... Nataka kuanlock huawei e5573s wifi device ni ya smart, ila mi nataka nitumie line zote. unaeza kua na softiware za ku-unlock????
Chief-Mkwawa said: -airtel wanauza modem ya wifi 40,000 -nunua power bank ya maana kwa 50,000 -chomeka modem yako kwenye powerbank magic!!! una router inakaa siku nzima na charge, na hujalipa kiasi kikubwa. sina uhakika kama modem za wifi za airtel zinachakachulika Click to expand... Nataka kuanlock huawei e5573s wifi device ni ya smart, ila mi nataka nitumie line zote. unaeza kua na softiware za ku-unlock????
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,070 Reaction score 43,515 Apr 24, 2016 #17 storyteller said: Nataka kuanlock huawei e5573s wifi device ni ya smart, ila mi nataka nitumie line zote. unaeza kua na softiware za ku-unlock???? Click to expand... HAPANA sina cheki dc unlocker kama wanaisuport jamaa ndio wanatoa lock vifaa vingi sema ni ya kulipia
storyteller said: Nataka kuanlock huawei e5573s wifi device ni ya smart, ila mi nataka nitumie line zote. unaeza kua na softiware za ku-unlock???? Click to expand... HAPANA sina cheki dc unlocker kama wanaisuport jamaa ndio wanatoa lock vifaa vingi sema ni ya kulipia
storyteller JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 1,544 Reaction score 1,873 Apr 24, 2016 #18 Chief-Mkwawa said: HAPANA sina cheki dc unlocker kama wanaisuport jamaa ndio wanatoa lock vifaa vingi sema ni ya kulipia Click to expand... Thanx man
Chief-Mkwawa said: HAPANA sina cheki dc unlocker kama wanaisuport jamaa ndio wanatoa lock vifaa vingi sema ni ya kulipia Click to expand... Thanx man
Babu_Jr Senior Member Joined Apr 13, 2016 Posts 114 Reaction score 26 Apr 24, 2016 #19 Ni bei gani chief Mkwawa
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,070 Reaction score 43,515 Apr 24, 2016 #20 Babu_Jr said: Ni bei gani chief Mkwawa Click to expand... bei ya nini?