Joshua robin Member Joined Aug 27, 2013 Posts 36 Reaction score 6 Oct 16, 2013 #1 Habari zenu wakuu!!!!!! naomba msaad, simu yang niki share INTERNET toka kwenye laptop(window 7) inasoma lakin kila nikifungua internet kwenye simu, ina andika DNS FAILED, kwana tatizo ni nini? au nitumie njia ipi?
Habari zenu wakuu!!!!!! naomba msaad, simu yang niki share INTERNET toka kwenye laptop(window 7) inasoma lakin kila nikifungua internet kwenye simu, ina andika DNS FAILED, kwana tatizo ni nini? au nitumie njia ipi?