WiFi ni wireless network iliyo kwenye 802.11 standard, kama ambavyo tunaweza kuunganisha computers kwa kutmumia network cable, WiFi inatumika kuunganisha simu, computers na wireless devices nyingine ili kuweza kupata huduma mbalimbali ikiwemo internet
WiFi ili kupata huduma yake ni lazime kuwe na mtoa huduma hiyo jirani kabisa na sehemu ulipo maana inaweza kuunganishwa kwenye simu au computer kwa umbali usiozidi mita 200
Watoa huduma wa WiFi ni migahawa ya internet, hotels nk
Vifaa vinavyotumika kutoa huduma ya WiFi ni wireless routers na WiFi access points
Hope nimekupa mwanga