😂😂 Sunshine..No, it's not hate!
It's just another form of love. These guys are just funny rivals!
Usichukulie serious yanayoongelewa humu, trolling each other is their way of showing love and affection to each other!
Wanaweza hata kucompare sunshine ya Nairobi na ya Dar ili wapate nafasi ya kutroll!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sijui kama kila mtu anakubaliana na hilo, kuna mtu kwa jina Geza Ulole ambaye ameamua na kuapa kwa moyo wote kuwa hana uzuri wowote na nchi tukufu ya Kenya ama raia wa nchi hii.Usichukulie mambo serious humu kihivyo.
Mfano Tz, wachaga hadi leo wanaitwa wezi, does anything for money, kuna kabila famous kwa uchawi, wanataniwa pia.
Hivyo yani, no big deal.
Lkn kama una ma feelings sana, utapata tabu sana.
Kenyans bhana. Humjui late Kanumba the great. The greatest actor of all time in East Africa. May be followed by Lupitadevil's kingdom ndio gani
Some kama Joto La Jiwe na Kidonda ni trolls hahaha. But others kama Annael, Geza. Akili Timamu wako dead serioussijui kama kila mtu anakubaliana na hilo, kuna mtu kwa jina Geza Ulole ambaye ameamua na kuapa kwa moyo wote kuwa hana uzuri wowote na nchi tukufu ya Kenya ama raia wa nchi hii.
When u get s1 standing up ur stupid ego u usually play hate cards!sijui kama kila mtu anakubaliana na hilo, kuna mtu kwa jina Geza Ulole ambaye ameamua na kuapa kwa moyo wote kuwa hana uzuri wowote na nchi tukufu ya Kenya ama raia wa nchi hii.
Jibu mulua kabisaWakenya wepesi sana kusahau mnajua kitu inaitwa COW na nyingine inaitwa EPA au mmeshasahau kila chuki inachanzo chake nyinyi mligeuza upole wetu na ukalimu wetu kuwa upumbavu Leo mmesahau .ila siku zote mwizi uanza ukolofi akizidiwa na kupigwa vibaya watu wasiojua chanzo uona mwizi anaonewa .hivyo hivyo Kwa Kenya mlianza ukolofi wenyewe sasa tumekuzidini nguvu mnalalamika
No, it's not hate!
It's just another form of love. These guys are just funny rivals!
Usichukulie serious yanayoongelewa humu, trolling each other is their way of showing love and affection to each other!
Wanaweza hata kucompare sunshine ya Nairobi na ya Dar ili wapate nafasi ya kutroll!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukweli usemwe tu, bila longolongo nyingi, ELIMU. Ona hii hapa,Kenyatta na Ruto wakiunadi Mlima Kilimanjaro kwenye kadi ya Christmas - JamiiForums Ukisoma comments kwenye uzi huu hapa juu utaona watz waliowengi hawaifahamu hata nchi yao, inasikitisha sana wanavotiririkwa na povu na kujawa na chuki wakisema huo mlima hapo kwenye kadi ni Ml. Kilimanjaro. Ukiangalia hiyo 'animated image' ya Ml. Kenya utaona ulivochongeka na hata mwenye chongo au kengeza hawezi akaufananisha na Ml. Kilimanjaro. Jeografia kwa wengi wao pia ni tatizo maanake hawajui urefu wa Ml. Kenya(mita 5,199, Kili umeuzidi na mita 696 tu) na kwamba una theluji kileleni pia. Ndio huu hapa Ml. Kenya.
Hiyo peak nyuma ya Uhuru na Ruto si Mt Kenya! That's Kibo peak!Ukweli usemwe tu, bila longolongo nyingi, ELIMU. Ona hii hapa,Kenyatta na Ruto wakiunadi Mlima Kilimanjaro kwenye kadi ya Christmas - JamiiForums Ukisoma comments kwenye uzi huu hapa juu utaona watz waliowengi hawaifahamu hata nchi yao, inasikitisha sana wanavotiririkwa na povu na kujawa na chuki wakisema huo mlima hapo kwenye kadi ni Ml. Kilimanjaro. Ukiangalia hiyo 'animated image' ya Ml. Kenya utaona ulivochongeka na hata mwenye chongo au kengeza hawezi akaufananisha na Ml. Kilimanjaro. Jeografia kwa wengi wao pia ni tatizo maanake hawajui urefu wa Ml. Kenya(mita 5,199, Kili umeuzidi na mita 696 tu) na kwamba una theluji kileleni pia. Ndio huu hapa Ml. Kenya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]No, it's not hate!