NI vizuri kama umegundua UHUSIANO NA TATIZO LA UFISADI.
Wakenya wanaharakisha tukamilishe shirikisho si kwa sababu wanatuona sisi kama ndugu.
Kenyans always want to take advantage of Tanzanians before Tanzanians wake up.
Ushahidi uko mwingi, mfano mmoja ni kwamba wamejinufaisha sana kwa kutumia Mlima Kilimanjaro wakati Watanzania mmelala. Na bado wangependelea mwendelee kulala zaidi.
WAJASIRIAMALI wanajua kubadilisha chochote (hata kama ni kero) kiwe FURSA, na fursa yoyote iwe BIASHARA.
USINGIZI wa Watanzania, kwa Wakenya ni fursa ya BIASHARA, na
UFISADI wa Serikali ya Tanzania, kwa Wakenya ni NEEMA ya kununua nchi kwa BEI POA.
Lakini Wakenya wanajua fika kuwa kuna siku mnaweza kuamka usingizini na pia kumaliza ufisadi, na hiyo ndiyo sababu ya KUHARAKISHA Shirikisho.
ALIYELALA, MBEMBELEZE AENDELEE KULALA ZAIDI, AKIAMKA UTALALA WEWE.
WATANZANIA MNABEMBELEZWA, ENDELEENI KULA!