Hoja ulifanyika usaili au tunafungashiwa tu? Mbona nasisi wapo akina kadogosa wa trl bwanamkulu wa msd kimei wa crdb nehemia mchechu wa nhcdogo hujawai fanya kazi multinationals nini.. kuna watu hata degree hawana ila ndio mabosi... degree haifanyi kazi ndugu.. bali ni utendaji halisi...
huyu mama kaanzia unilever.. kwenye sales dept na kauza sana bidhaa za uniliver kuliko kawaida.. na safari com walimnunua kutoka uniliver kwa kumpandishia dau baada ya kuona anajua kuuza...
na vodacom group huko uk wameona anafaa majukumu makubwa zaidi...
first class ya udsm tu ishu kupata hata ya sociology.. sasa huyu mama ana first class ya science tena university of nairobi.. hajasoma ngwibi huyu... kichwa chake ni kizuri... sababu kazi unafundishika tu hata kama hujasomea.. voda sio hospitali useme atatibu watu
Tumeona ma ceo wa hovyo kama kiyoko wa pmw na blady wa acacia hatuwezi kuendelea kufanyiwa majaribiodogo hujawai fanya kazi multinationals nini.. kuna watu hata degree hawana ila ndio mabosi... degree haifanyi kazi ndugu.. bali ni utendaji halisi...
huyu mama kaanzia unilever.. kwenye sales dept na kauza sana bidhaa za uniliver kuliko kawaida.. na safari com walimnunua kutoka uniliver kwa kumpandishia dau baada ya kuona anajua kuuza...
na vodacom group huko uk wameona anafaa majukumu makubwa zaidi...
first class ya udsm tu ishu kupata hata ya sociology.. sasa huyu mama ana first class ya science tena university of nairobi.. hajasoma ngwibi huyu... kichwa chake ni kizuri... sababu kazi unafundishika tu hata kama hujasomea.. voda sio hospitali useme atatibu watu
na wengi tu wapo.......Hoja ulifanyika usaili au tunafungashiwa tu? Mbona nasisi wapo akina kadogosa wa trl bwanamkulu wa msd kimei wa crdb nehemia mchechu wa nhc
Iko listed DSE tunahaki ya kuhoji
Hoja ulifanyika usaili au tunafungashiwa tu? Mbona nasisi wapo akina kadogosa wa trl bwanamkulu wa msd kimei wa crdb nehemia mchechu wa nhc
sound good...eddy unapoint. Point yako ipo dhahiri na hakuna mtu mwenye ufahamu anaweza kuipinga. Kimei hakusoma mzumbe wala shule za kata. Hakusoma kwenye nchi zinazoamua kupika taarifa za elimu kwa msingi ya kisiasa. Alisoma nchi zinazojitambua na zenye lengo la kujenga taifa imara endelevu kwa kuwekeza kwenye elimu. "human development".
"Dr. Charles S. Kimei is a Managing Director at CRDB Bank Plc and Chairman at Tanzania Bankers Association. Dr. Kimei was previously employed as Director-Economic Research & Policy by Bank of Tanzania.
He received his undergraduate degree from Moscow State University Lomonosov, a graduate degree from Stockholm School of Economics and a doctorate degree from the University of Uppsala."
Ninaomba unzishe uzi, au uombe mods wafungue forum maalumu ya ku address suala la elimu hapa nchini, lisiwe jukwaa la hovyohovyo. Jukwaa litakatoa ushauri namna gani elimu yetu inapashwa kutengenezwa kwanza, namna ya kutengeneza na kupata kina Kimei wengi, namna ya kutengeneza uwezo wa kupambana katika soko la ajira ndani na nje na katika nyanja za kimataifa katik adunia hii ya utandawazi, na namna gani elimu ya juu inapahswa kuwa sambamba na mfumo wa ajira kimataifa katika sekta za umma na hata za binafsi.
NINAOMBA SANA HILI SUALA TULIPE UZITO NA TULIJADILI KWA MTAZAMO WA KIPEKEE KWA MASLAHI YA TAITA LA LEO NA VIZAZI VYETU VIJAVYO.
Vodacom sio kampuni binafsi tangu wauze hisa dse imekuwa plc serikali ina haki ya kuhojihivi yule ceo aliyopita wa voda ian.. na yule aliyepita mzungu.. je tuliletewa tu au ulifanyika usahili...
voda ni kampuni binafsi... maamuzi ni yao wamuajiri nani na kwa mfumo gani??
pia internal post huwa inaangalia wafanyakazi wa ndani tu... ambapo management ya voda iliona huyo mama anafaa kwa hiyo nafasi...
sasa ulitaka wamchukue mchechu ambaye anashinda mahakamani mwizi kaibia nchi yake maskini... mtu anaibia hadi nchi yake maskini hana huruma ndio umpe voda ambayo ni kampuni tajiri si ataiba hadi viti
wacha blah blah za jk. Tunazo taratibu za kupata vibali vya kazi kwa wageni lazima zifuatwe.hivi yule ceo aliyopita wa voda ian.. na yule aliyepita mzungu.. je tuliletewa tu au ulifanyika usahili...
voda ni kampuni binafsi... maamuzi ni yao wamuajiri nani na kwa mfumo gani??
pia internal post huwa inaangalia wafanyakazi wa ndani tu... ambapo management ya voda iliona huyo mama anafaa kwa hiyo nafasi...
sasa ulitaka wamchukue mchechu ambaye anashinda mahakamani mwizi kaibia nchi yake maskini... mtu anaibia hadi nchi yake maskini hana huruma ndio umpe voda ambayo ni kampuni tajiri si ataiba hadi viti
wacha blah blah za jk. Tunazo taratibu za kupata vibali vya kazi kwa wageni lazima zifuatwe.
Vodacom sio kampuni binafsi tangu wauze hisa dse imekuwa plc serikali ina haki ya kuhoji
acacia pamoja na makinikia walikuwa na maceo wazungu tulipigwa pesa ndefu. leo linaendeshwa na mswahili linapata faida na haliuzi makinikiakama ma ceo wote wa voda walioondoka walipata vibali na sio watanzania... hata huyu mama atapata tu..
kibali cha ajira sio kazi yake kutafuta.. ni voda wanamtafutia bosi wao. na wanapata..
hizi ajira binafsi sio za uma.. wageni wamejaa kila sehemu makampuni binafsi.. na sababu elimu yote ni mbovu na wizi wetu wanatuogopa...
Hayo ndo mambo yakuhoji iweje watanzania wanyimwe fursa za juu tuambulie ulinzi hapa tatizo lipo. Ni wageni sio kwa sababu wana ujuzi kuliko wabongo ni kwa sababu ya mapungufu katika wizara husika mavunde anajua kuangalia michango ya nssf na wcf basi upumbavu mwingine unapita. Nenda UAE australia uone kama mgeni unaweza kuwa ceomultinationals hazitaki degree za vyuo vya kata na english ya ze ze ze nyingi board room
serikali ina hisa kibao NMB ila ceo ni mzungu mama ineke.. nenda kalalamike awekwe mtanzania..
serikali ina hisa kibao puma energy nenda kalalamike mzungu atolewe awekwe mtanzania..
serikali ina hisa kibao TCc nenda kalalamike mgeni atolewe awekwe mtanzania..
serikali ina hisa kibao NBC nenda kalalamike yule mzambia mizinga melu atolewe awekwe mtanzania
Uzalendo usio na tija, mzalendo anayeipenda nchi yake ni yule anayekwenda Kenya anachapa kazi analeta pesa nyumbani, tuige wakenya na wachina siyo uzalendo wa politiki.Post nzuri sana tena ya kizalendo. Ni matumaini yangu rais wetu atasikiliza na kufanyia kazi ushauri huu. Tanzania ni yetu. Ikiharibika wenye hasara ni sisi. Wengine hata nje ya Tanzania hatupajui. Kulinda rasilimali zetu ndio uzalendo namba moja
Hayo ndo mambo yakuhoji iweje watanzania wanyimwe fursa za juu tuambulie ulinzi hapa tatizo lipo. Ni wageni sio kwa sababu wana ujuzi kuliko wabongo ni kwa sababu ya mapungufu katika wizara husika mavunde anajua kuangalia michango ya nssf na wcf basi upumbavu mwingine unapita. Nenda UAE australia uone kama mgeni unaweza kuwa ceo
kuwa serious ulichoandika hakimake sensi........Uzalendo usio na tija, mzalendo anayeipenda nchi yake ni yule anayekwenda Kenya anachapa kazi analeta pesa nyumbani, tuige wakenya na wachina siyo uzalendo wa politiki.
Sorry, unachangia uzi huu au kuna uzi mwingine ulikuwa unataka kuchangia?Mlichofaa kufanya ni kuwanyanyua TTCL na kuwapa nguvu badala ya kuingilia makampuni ya watu. Japo Magufuli naona ameanza kuwanyanyua hao TTCL, juzi kuna mradi nimeomba kwenu huko, ambapo tulikua kwenye ushindani na makampuni mengine na pia TTCL waliomba, ni mradi wa serikali, yaani TTCL waliachiwa washinde moja kwa moja na wakachukua mradi.
Sasa kama wana akili waamke, wasiishie kulialia kama mnavyofanya, maana wanapewa miradi yote ya serikali inayohusiana na teknolojia za malipo. Kuanzia kwa LUKU hadi mifumo ya malipo kwenye hospitali.
Angalia hata wamepewa kandarasi ya DART, sasa wabebwe hivi lakini bado wanashindwa kwa kauli zenu za eti lazima CEO sijui awe mzawa sijui mara hiki mara kile....
Fuata hii habari TTCL kukata tiketi za Udart
Wameshatuona guinea pigs, bastards, yaani aje ajifunzie kwetu? Kwanini asijifunzie huko kwao?Angekuwa mtanzania sawa ila kwa raia wakigeni kujifunzia tanzania hapana. Tusifanye nchi yetu sehemu yakujifunzia. Tumahitaji kulinda maslahi yawatanzania tumenunua hisa tumewekeza fedha zetu. Huyu mama hata hisa moja vodacom hana
multinationals hazitaki degree za vyuo vya kata na english ya ze ze ze nyingi board room