First polen wenzang ambao hamkuitwa...uuuups its so sad and its like movie you know what watu tulikuwa tunaisubiria kwa hamu ila tumepigwa chini hta kwenye shortlist hatuwepo..
.....is that true somebody kasema watu tulosomea fani ya marketing,education and sociology tumewekwa pending... mmmh????
Anyway mwaka ushaanza na bado mwanga wa kupata ajira ishakuwa gundu.... mmm kujiajir financial problems... vibarua havieleweki..had tunamuuliza muumba why not us.....
Best wishes mloitwa kwa interview
Pls I need advice mlopata kazi mlipitia tabu kama hizi???

huko kugumu kaka hakuingiliki kirahisi kama unavyofikira kakaICHANA Kama haujaitwa kwenye usaili ni wazi kwamba hauna sifa za kazi walizotangaza. Jaribu tena wakati mwingine au tafuta kazi sehemu nyingine. kama vipi ingia Polisi, JKT au JWTZ.
Jaman mbn nimeskia wataita tena zipo awamu 3.