Why not shimbo pleaseee

Who Cares?

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2008
Posts
3,507
Reaction score
3,378
Kitendo kilichotokea juzi pale uwanja wa taifa wakati wa mechi ya taifa stars na morroco kinanifanya nijiulize maswali ambayo yananirudisha nyuma kabisa na kutaka kujua kazi za shimbo kama mnadhimu mkuu wa majeshi yetu...

Jeshi lenye "NIDHAMU" ambalo ni jukumu la kwanza la mnadhimu mkuu wa Majeshi..shimbo...linatakiwa kuwapo popote pale anapokuwapo "amiri jeshi mkuu" raisi kikwete jakaya...

Je shimbo haoni kama anatakiwa kujiuzulu kwa "JESHI ANALO-LINADHIMU" kutoweza kupiga wimbo wa taifa mbele ya amiri jeshi mkuu hali iliyolitia taifa aibu kuu mbele ya dunia yote...Hii inaleta picha kuwa nchi haina jeshi lenye "nidhamu"...badala yake shimbo anasimamia siasa.

Floriani Kaijage ni mbuzi wa kafara tuu..tatizo hapa ni jeshi lisokuwa na nidhamu...WHY NOT SHIMBO JAMANIII???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…