....Ni kweli kabisa....siku hizi uanaume umepungua kwenye jamii....masharo baro wengi ..hasa kwetu uswazi...wanavaa vinguo vya kubana kuweka hereni...kunyoa viduku na kila muda wanaongelea mademu lakini wa facebook....lakin sio ka,a wewe unavyo maanisha hakumanisha hivyo....