sawa. KALIMANGONGA aliwaonyesha nini maana ya kandanda, mmushukuru ArajigaKiufupi jamaa hana mbinu na hawezi kubadilika. Amekariri sana hata aina ya wachezaji wa kufanya mabadiliko na muundo wa uchezajii kiujumla...
Wakati ule Simba ikifanya vizuri Matola hakuwepo kwani?Yes Matola amekuwa kocha msaidizi muda sasa! Ili Simba ibadilike inahitaji kocha msaidizi mwingine ili kuja na mawazo mapya...
Utopolo jingine hiliTumuondoe kwanza Mo, ndiye anayetuhujumu⁹