Hayati Kolimba akiwa katibu mkuu wao alisema "...ccm imepoteza dira na mwelekeo..." bado watanzania hawakumuelewa... Mzee Moyo nae akasema "hii si ccm niliyoijua..." bado hatuelewi... mzee Kingunge amerudia tena haitoshi balozi Mwapachu kauli hizohizo... bado tumejing'ang'aniza humo!!! Wanaolijua gari wameshuka wakijua halina breki na mbele kuna korongo sisi wapandia njiani na wadandiaji tunapanda tukishangilia KWA SAUTI KUBWA MBELE KWA MBELE!!!!
HIVI HUKO MBELE MMESHAJUA KUNA NINI?