asante kwa ushauri wako, nitazingatia sala, mungua kubariki sanaSali tu hakuna zaidi ya salaa, unajua shetani anakuchezea tu kwamba huwezi kupenda mwingine zaidi yake, Mungu kisha kuandikia nani atakuwa wako...wala usijali :A S shade:
habari zenu wanajf...
niko kwenye wakati mgumu sana sasa, najaribu kila hali niweze kumsahau mwanaume ninayempenda ambaye naweza kusema uwezo wa kuwa naye tena haupo kutokana na migogoro inayoendelea kwa mda mrefu sasa kati yetu tangu last year in July. wadada na wakaka hebu fungukeni huwa mnafanyaje kuwasahau wapenzi wenu mliowapenda kwa dhati na mkajikuta hamna uwezo wa kuwa nao tena? ushaur wenu unahitajika katika hili, maana nashindwa kumweka mtu mwingine katika moyo wangu....
Shosti pole ebu niulize kwani ndio mwanamme wako wa kwanza? na kwanini ujitese roho yako kumpenda mtu wala mawazo na wewe hana? nna hakika kua wewe ni mrembo na unaweza kupata mwengine zaidi yake, jaribu kujiweka busy sana na kazi zako punzugaza kumfikiria kwani hastahili penzi lako,muombe mungu kwa sana atakupa mwenye kheir na wewe..
asante kwa ushauri wakoPata mwingine utamsahau tu na utaona alikuwa si type yako ndio maana amkudumu, pia utajiuliza ulikuwa umefungwa na nini kumpenda yule kaka!
Songa mbele yeye ni history!
mapenzi haya....ndio maana wanaume tunatakaga kuwa wakwanza kumega tunda coz demu hakusau. pole bidada lakini. mapenzi kazi