Ata million 10 ukiipeleka kwenye starehe hazitoshi...sioni tatizo lolote mtu kupata laki 7 za TZ au 35000 ksh kwa upande wa pili,laki saba ni pesa nyingi kama utaipeleka kwenye matumizi ya msingi, izo pombe haziko katika mahitaji ya msingi ya binadamu,laki 7 unaweza pata chumba na sebule kwa sh 150000 tsh,ukanunua cooking gas 18000tsh ukanunua vyakula na nauli na bia ukanywa nyingi tu...sioni tatizo lolote japo sio pesa ya kujikweza nayo....kama wewe ni graduate nategemea iyo laki saba izae pesa zingine haiwezekan uridhike nayo the whole year ndio monthly income yako....unaweza usielewe lakini graduate wengi hupata laki 6 tsh na inakatwa mpaka wanatoka na 480k tsh na bado wanafanya mambo ya msingi kipitia vipato vingine vidogo vidogo, graduate wanaopata zaidi ya laki 6 tsh mara nyingi ni waliosoma science Au kozi za biashara na apate kazi kwenye kampuni au mashirika...izo pesa ni ndogo kuzitamka lakini kuzifanyia kazi uzipate sio jambo dogo
Sent from my SM-J200H using
JamiiForums mobile app