Soma article yote ndipo utamuelewa muandishi. Hiyo pesa anayolipwa degree holder wa Kenya inaisha yote kwenye matumizi ya kawaida kama transport nakujikimu na hapo bado ana familia na mwisho wa siku anajikuta anaishi Kibera na degree yake kama huyu jamaa..La hasha. Huyo mwandishi ndiye hakuchagua maneno yake ipasavyo, angesema wenye degree hawalipwi pesa kulingana na tajriba/elimu yao. Hapo ni sawa kabisa, na sote tunakubali. Lakini kuwaita poor.....hapo kidogo kapitiliza kabisa.
Mtu mwenye kipato kiwangi hicho kwenye nchi zinazoendelea kama Kenya, Tanzania hata kule SA wanaorodheshwa kama "middle- class".
Umaskini wa mtu kama utatokana na anavyotumia hela hizo, hasa kuamua ato kwenda kubughia "ice bucket", maisha kama haya hatayaweza. Itakuwa ni lazma ajipange vyema.
Mimi hata nisingekuwa na degree bado ningetusua tu. If you get to know my real life its trouble. Thus why nawambia Kenya napajua sana. But toka mlipo nifanyia utapeli niliwashusha sanaaaa especially the Gathecha's and Kinyanjui's najua utakuwa umenielewa.Kwa jinsi huwa unajisifia humu utakua ni dogo fulani hapo Bongo umebahatika kupata internet connection. Kuwa na digri sio kigezo cha utajiri, kumbuka huko Tanzania kima cha mshahara wenu kipo chini sana ya Mkenya, juzi tuliona hata madaktari wenu wanahangaika mitaani maana serikali imeshindwa kuwaajiri.
Daktari wa kiwango cha mshahara wa chini Kenya analipwa bora zaidi ya aliyebobea huko Tanzania.
Nimeisoma na kuilewa. Kila mtu humu ameisoma na kutokubaliana na maoni ya huyo mwandishi.Soma article yote ndipo utamuelewa muandishi. Hiyo pesa anayolipwa degree holder wa Kenya inaisha yote kwenye matumizi ya kawaida kama transport nakujikimu na hapo bado ana familia na mwisho wa siku anajikuta anaishi Kibera na degree yake kama huyu jamaa..View attachment 556488
Acha uongo.. Nimefanya na hiyo kampuni, mlinzi halipwi laki 7..... Kada za chini wanapokea laki 4... Jifunzeni kusema ukweli vijanaNenda Mikocheni karibu na Hospitality ya Kairiku kuna company inaitwa Handeni Gold and Exploration iko chini ya Reginald Mengi na wa Canada. Mlinzi anapokea si chini ya 700,000/=Mpishi anaewapikia hao wa Canada anapokea 1 million. Uzuri wanaishi pembeni ya hiyo office. Secretary anaitwa Mary kaombe kazi hapo. Hakuna professional anaepokea chini ya 4 million kama upo vizuri. Mary atakusaidia cause yuko karibu sana na Reginald Mengi nando kamuweka hapo. Pia wanafanya na biashara yakununua madini yote. Utacheza na dollars sana hapo. Ukishindwa nitafute cause mimi nafanya biashara nao.View attachment 556176
Usiongee vitu usivyojua. Kwa taarifa yako last week wizara ya afya imetanganza ajira 3,152 na bado kuna ajira nyingine zaidi ya hizo zitatoka kwenye wizara ya afya baada ya hizo kukamilika. Pia wale madkatari wote waliokuwa waje kusaidia Kenya raisi wangu kipenzi Magufuli kawa ajiri wote mdamrefu sasa.Kwa jinsi huwa unajisifia humu utakua ni dogo fulani hapo Bongo umebahatika kupata internet connection. Kuwa na digri sio kigezo cha utajiri, kumbuka huko Tanzania kima cha mshahara wenu kipo chini sana ya Mkenya, juzi tuliona hata madaktari wenu wanahangaika mitaani maana serikali imeshindwa kuwaajiri.
Daktari wa kiwango cha mshahara wa chini Kenya analipwa bora zaidi ya aliyebobea huko Tanzania.
Tribe Number of Professors
Hiyo kampuni manager wao ni nani.?? Naipo katika jengo gani kwa sasa?? Na mwanzo kabla yakuama office zao zilikuwa wapi??Acha uongo.. Nimefanya na hiyo kampuni, mlinzi halipwi laki 7..... Kada za chini wanapokea laki 4... Jifunzeni kusema ukweli vijana
Sent using Jamii Forums mobile app
The more u talk about your lifestyle, the more I am doubting u. Debe tupu....kamilisha methali.Hata kama ni 800,000/= That's a toilet paper money for a degree holder in TZ. I have a degree and this is my life in TZ.!!Do you know the level of Gold Karatage it has? Ukute hata gold karatage ujui ni nini. Hiyo pesa haitoshi hata school fees ya mtoto wangu.View attachment 556477
Unatambua ulichosema??Tribe Number of Professors
Kikuyu 130
Luo 167
Kalenjin 102
Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mulisaaa kalisha tecno yako kwa kona ipate kupumua [emoji26][emoji26]Acha uongo.. Nimefanya na hiyo kampuni, mlinzi halipwi laki 7..... Kada za chini wanapokea laki 4... Jifunzeni kusema ukweli vijana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaongelea life style yangu hapo. Nimegusia kidogo nachofanya. I have friends who have degrees and there life uko super mbaya. In fact they are biollioners. Nikiamua ujue life style yangu nakupa full name yangu. Uki Google nimemaliza kijana.The more u talk about your lifestyle, the more I am doubting u. Debe tupu....kamilisha methali.
Sassma kila mtanzania mwenye digri anajihusisha na mauzo ya gold? Wewe u are completely out of touch with the reality, and I am yet to see a one Tanzanian here seconding your arguments.
Hapa nilipo I have three phones kwahiyo nabadilisha navyotaka lakini sinakitu inaitwa techno. My cheapest phone is made from Finland. Huyo nimemwambia anipe jina la manager wa hiyo kampuni, aniambie kwa sasa wapo kwenye jengo gani na kabla hawaja hama walikuwa wapi na jengo gani??. Zahidi yahapo aijui hiyo Kampuni. Lakini nashangaa hadi sasa ajanijibu japo bado namaswali mengi yakumtega hayo nimepesi nilio muuliza. Nashangaa haja nijibu. Inaonekana labda alikuwa nikibarua wakubeba vyuma kipindi wanafanya drilling ya sampling.Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mulisaaa kalisha tecno yako kwa kona ipate kupumua [emoji26][emoji26]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hivyo hapa Kenya hakuna wenye wanaearn six/seven figure salaries na mabilionaires?Sijaongelea life style yangu hapo. Nimegusia kidogo nachofanya. I have friends who have degrees and there life uko super mbaya. In fact they are biollioners. Nikiamua ujue life style yangu nakupa full name yangu. Uki Google nimemaliza kijana.
unawauwa kakaHata kama ni 800,000/= That's a toilet paper money for a degree holder in TZ. I have a degree and this is my life in TZ.!!Do you know the level of Gold Karatage it has? Ukute hata gold karatage ujui ni nini. Hiyo pesa haitoshi hata school fees ya mtoto wangu.View attachment 556477
Utakuwa unaishi Tanzania ya Burundi. Mshahara uliokuwa quoted hapo unazidi what most graduates earn in Tanzania. Mathalani hiyo 35000Ksh ambayo umeiweka kuwa equivalent to 700,000 Tsh ni zaidi ya mshahara (gross pay) unaolipwa to graduates walioko public sector especially local government kwenye kada za ualimu, arts na hata business.
Ulichoquote kama mshahara wa 12 M kwa graduate inawezekana inalipwa kwa 1 tu among 1000 graduates.
Mkuu nimechukua 35,000 Kenyan na kuigeuza kwenye TZ ambayo ni 700,000. Nikasema ice bucket moja ya drinks huku TZ haiwezi ni cost chini ya 250,000. Nikiagiza tatu pesa imekwisha. Ice bucket nayo ongelea hiyo apo chini. Mimi sinywagi Changaa.View attachment 555684
what of those in Tandale and Manzese???
Degree holders in Kenya are not oonly poor but very poor......!View attachment 555648View attachment 555649 View attachment 555650View attachment 555651