hizi sasa ni nyingine, unao marafiki wangapi wanalipwa zaidi ya 6 million??????After deduction zamifuko ya jamii na tax you remain with 35,000 almost to 700,000/= Ambayo mimi hiyo nikenda nayo High spirit au Runway just for a weekend narudi bila change. Cause one bucket of drinks will cost me 250,000/=. Nikinunua mbili?? Hiyo sio pesa. A degree holder huku wanalipwa hadi 6 million. Kuna rafiki yangu ni geologist wa kampuni moja hapa TZ pia degree holder analipwa 12 million mpishi wao analipwa 1 million. Poor Kenya alafu unajilinganisha na TZ kwenye mishahara. Huku kunawatu wanalipwa pesa kicha mishahara in terms of dollars.
Sawa unauma🙂Ukweli inauma
sent from iPhone 7
Soma article mkuu. Sio mimi ni muandishi. Huwezi jua huu ubishi mimi na yeye umetokea kwenye thread gani hadi mimi kufungua hii thread. So please toa maoni kama wewe.hizi sasa ni nyingine, unao marafiki wangapi wanalipwa zaidi ya 6 million??????
yeye amesema most degree holders, na yeye kuna huko kwao watakua wanalipwa zaidi ya hicho
My friend hujui mimi ni nani na ninafanya nini. The good thing nakujua sana tu. Nikiamua kukuingiza kwenye system utashangaa hadi jina lako nimelijuaje. Serikali yako ilinishindwa so you to me your nothing.Una utoto sana .....its like ww ndio umefunga kidato kuenda likizo ukaingia JF mea baba
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu uchumi unakuaje mbona mtaani hali mbaya??2017 report shows Tanzania is the 5th in the WORLD with the fastest growing economy. Yani speed yetu niya 4G. Wazungu mwenyewe wanashangaa tunavyo kuza uchumi wetu.View attachment 555780
This is why I love Kenyan's ,I do understand you for real this fellow countryman must be from Lumumba streethaya, baada ya kubadilisha hizo pesa kuwa dollars naona bado huna pointi yoyote...wewe una bahati unkunywa za bei ghali...i think thats ur point...but what about other tanzanians? ama kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa...naona una assume that all tanzanians drink expensive liquor kama wewe...that is naive...the fact that you have eaten something tonight, doesnt mean that all Tanzanians have also eaten...kuna wengi wamelala njaa...same to Kenyans..Similarly, the fact that you think that 50,000 ksh is what poor people make does not mean that that is what other Tanzanians think...kuna wengi wanatamani wangekuwa wana tengeneza pesa hizo..tumeelewana mkuu?
Hao unaoishi nao huko bweni majority ni Snr officials wa govt sidhani kama kuna Jnr officials wenye ubavu wa kujenga kule kwa bei zile za viwanja watakuwa wapiga dili wachache ama wamerithiMimi nimetoa info za private sector. Maisha ni mwangu sitokuja ajiriwa na serikali, mimi na ajiri. Alafu uweunasoma article kwanza. Hakuna mfanyakazi TRA mwenye nyumba moja. Mimi naishi Mbweni na watu wa serikalini. They are very rich. Kiufupi billioners. Labda kama wewe unabeba ma file.
Hii exchange rate ya lini? Labda ungesema roughly35,000 Kshs ni sawa na 800,000 Tshs, mnafaa muelewe hela ya Tanzania inaendelea kupoteza thamani.
Hii exchange rate ya lini? Labda ungesema roughly
Kwa hiyo ulivyoingia ndo ikakuletea 800,000/=?Hamna roughly, ingia kwenye website ya BoT.
Thank you mkuu$500 = Tsh: 1 119 400.00 about Ksh:
51 925.00 ni masikini? Acheni kufuru
La hasha. Huyo mwandishi ndiye hakuchagua maneno yake ipasavyo, angesema wenye degree hawalipwi pesa kulingana na tajriba/elimu yao. Hapo ni sawa kabisa, na sote tunakubali. Lakini kuwaita poor.....hapo kidogo kapitiliza kabisa.$500 = Tsh: 1 119 400.00 about Ksh:
51 925.00 ni masikini? Acheni kufuru
Hata kama ni 800,000/= That's a toilet paper money for a degree holder in TZ. I have a degree and this is my life in TZ.!!Do you know the level of Gold Karatage it has? Ukute hata gold karatage ujui ni nini. Hiyo pesa haitoshi hata school fees ya mtoto wangu.35,000 Kshs ni sawa na 800,000 Tshs, mnafaa muelewe hela ya Tanzania inaendelea kupoteza thamani.
Kama wewe ni mmoja wa wale unaesubilia vya bure za enzi ya Kikwete huto weza kuona. Join the team yakufanya kazi. Vya bure alikufa.Mkuu uchumi unakuaje mbona mtaani hali mbaya??
Hata kama ni 800,000/= That's a toilet paper money for a degree holder in TZ. I have a degree and this is my life in TZ.!!Do you know the level of Gold Karatage it has? Ukute hata gold karatage ujui ni nini. Hiyo pesa haitoshi hata school fees ya mtoto wangu.View attachment 556477