We hv to blame our selves,
Ss ndo chanzo cha tatizo,
Mind set yetu ni shida
Vichwani tungekuwa vizuri hata hiyo utawala bora ingekaa vizuri maana tungempa nani atuongoze ili kutupeleka tunapotaka,tofauti na sasa tunaenda viongozi anakotaka,tumekuwa watumwa wa wanasiasa badala ya wanasiasa watutumikie sisi