Vingereza vingi hakuna kitu Mwanamke anakipenda km Pesa,Don’t always think a woman will leave you because you don’t have money.
Hakuna aliyefanya hivyo akatoboa maisha. Hatutaki kuwa masikini mkuu!Unatafuta huku Unaendelea kutuelewa 😅
Sababu halisi ni moja tu, PESA a.k.a MAOKOTO...WHY A WOMAN LOSE INTEREST IN A MAN.
😂 😂 😂 😂 😂😂Vitu vidogo vidogo mnavyofanya vinaboa Sometimes na huwa mnafanya kusudi kabisa.
Yaani pdidy kivipi hapo?Kanye West ameachika sababu yeye sio PDD. Kim kaenda zake.
Tunapenda kudekezwa sana na Pesa 😜😋😅Kwa mwanamke ni ngumu sana kujua anataka nini. Kanye West ameachika sababu yeye sio PDD. Kim kaenda zake. Anampigia mahesabu mme wa Rihanna.
Sijui ndio wanasema sharing is caring? Uongo wa maisha haya hakuna la mno wala cha ajabu😂😂😂😂😂😂
Si mnagawa chenchi Mwanamke akiwa na Pesa hataki kua na mwanaume anataka kua na msugulioHuo ni mtazamo wako.
Kuna watu wana Pesa lakini Mwanamke anachiti kwa ambaye hana.
You can be none of these 15 things and a woman would still dump you for being none of them.Don’t always think a woman will leave you because you don’t have money.
A reasonable woman won't leave you because you don't have money. A woman will actually leave you:
1) when you refuse to change your character
2) when you don’t have time for her
3) when you make urself so difficult for her to understand you
4) when you don’t communicate with her(you can’t call her or text her in a day. Both of you can’t seat talk and play)
5) when you don’t trust her
6) When you don’t care about how she feels
7) when you still hold on her past
8) when you suspects her
9) When you confide in other people more than her
10) when you’re not proud of her 👌.
11) Bad attitude = bad prospect
12) You've got the wrong intentions
13) You're not looking after
yourself
14) Your confidence levels are off.
15) When you make yourself an island that no one advices you.
Yaani hata mimi nimemshangaa... Ilibidi aandika tu PESA PESA PESA sio mara when you wiiiiiiizi mtupu😁Vingereza vingi hakuna kitu Mwanamke anakipenda km Pesa,