We makaka,mdada,mbaba,mmama unayesoma hii na unayependa kutembelea humi jamvini nani alikufundisha kuvuta sigara aina yoyote ile,SM,nyota,embassy Marbollo.
Ulikuwa na umri wa miaka mingapi na alikufundisha akikwambia inafaida gani?

K WA BAHATI NZURI sivuti........ nishatumwa sana kuwasha sigara na dingi.......... nishakaa na wavuvi wavuta bangi ................. LAKINI SIVUTI NA SITAKI KUVUTA................. inasemekana pafu moja linakaa miaka saba kifuata