Kamanda wa Kweli
JF-Expert Member
- Jul 13, 2014
- 1,448
- 847
I neither agree nor disagree...but I would like to know this deeply!!! Anayejua au wewe mwenyewe elezea facts na evidence kabisaa...ili nijue kama ni kweli au lah!!Russia is powerful because of Putin ..Putin akistaafu u will hear nothing from Russia...USA is strong regime
Hahahaa...maswali mazuri...majibu Tafadhali.mkuu @Bowie hujelezea vizuri kuhusu iyo Ajari, ilikuwaje??
je putini amebakiza miaka mingap kumaliza muhura wake wa uongozi na uchaguz mwingine anaruhusiwa kugombea??.
je ni Puttin ndo anaipa nguvu russia au Russia ina nguvu tayari kwamba hata akibadilika raisi russia itaendelea kuwa na nguvu?
neo1
Elezea kiundani zaidi basi...kama anategemea extractive industries...vipi zile bidhaa zingine like helicopters, aeroplanes, cars, cellphones, cars, building materials and other finished goods anazitoa wapi??? Au unaweza ukatupa data za import and export za russia kuthibitisha kwamba yeye ananunua bidhaa nyingi hasa ambazo zimekamilika au Ziko tayari kwa matumizi...finished goods...kutoka nje? If yes then type hizo data!Mashindano ya siraha ndiyo yaliangusha Ushirikiano la Kisovieti zamani.Ukitaka Kufanya Vita,kagua kwanza Uchumi wako.Uchumi wa US ni 18.5T wakati Russia ni 1.2T!!
Bajeti ya Jeshi la US kwa Mwaka ni around$500B!!
Nchi inayotegemea Extractive industries kama Russia itakuwa ni uchizi kukimbilia Vita.Yaani inategemea Mafuta,wenzao walishahama huko wakaenda kwenye viwanda wakahamia kwenye service industries.Mafuta yakishuka bei umekwisha.
How powerful are they?- Please clarify!!
Russia ina aina ya silaha intaitwa Intercontinetal Missle With Nuclear Head, maana yake silaha inayoweza kutumwa kutoka Russia na kuweza kupiga mji ama sehemu yote Marekani na Europe. Hiyo silaha ni tisho tosha kwa nchi za Magharibi (pamoja nawao wanazo hiyo aina ya silaha). Majuzi Rais Putin alitoa maagizo kwa wakazi wa Moscow kufanya mazoezi ya kuingia kwenye mahandaki yaliyochimbwa wakati wa USSR endapo Marekani akiamua kushambulia Urusi na silaha hizo za maangamizi. Hapa tulikuwa tunajadili Balance of Power Kijeshi sio kiuchum. Hata North Korea anaheshimika kwa kuwa na silaha hiyo pia.Elezea kiundani zaidi basi...kama anategemea extractive industries...vipi zile bidhaa zingine like helicopters, aeroplanes, cars, cellphones, cars, building materials and other finished goods anazitoa wapi??? Au unaweza ukatupa data za import and export za russia kuthibitisha kwamba yeye ananunua bidhaa nyingi hasa ambazo zimekamilika au Ziko tayari kwa matumizi...finished goods...kutoka nje? If yes then type hizo data!
Uchaguzi wa urais wa Urusi utafanyika 2018 March na Rais Putin ameonyesha nia ya kugombea na mjibu wa katiba mpya ya Urusi anaruhusiwa kugombea kwa mara ya pili, alipokuwa Rais kwa mara ya kwanza alitumikia kwa mjibu wa katiba ya zamani.mkuu @Bowie hujelezea vizuri kuhusu iyo Ajari, ilikuwaje??
je putini amebakiza miaka mingap kumaliza muhura wake wa uongozi na uchaguz mwingine anaruhusiwa kugombea??.
je ni Puttin ndo anaipa nguvu russia au Russia ina nguvu tayari kwamba hata akibadilika raisi russia itaendelea kuwa na nguvu?
neo1
Ha ha haaa, jamaa umekataa kudanganywa vibaya du!Mbona unakuwa muongo???
Uchumi wa Nigeria ni $635b.
kwahio unataka kuniambia Russia yuko level moja ya uchumi na nchi kama nigeria???
Sasa G8 russia Imeingiaje???
hadi hivi majuzi ndo wameitenga kwa sababu za kisiasa....
Kadanganye watoto wadogo...
Nimemuuliza kwa sababu ya majibu yake! By the way...nimekupata.Russia ina aina ya silaha intaitwa Intercontinetal Missle With Nuclear Head, maana yake silaha inayoweza kutumwa kutoka Russia na kuweza kupiga mji ama sehemu yote Marekani na Europe. Hiyo silaha ni tisho tosha kwa nchi za Magharibi (pamoja nawao wanazo hiyo aina ya silaha). Majuzi Rais Putin alitoa maagizo kwa wakazi wa Moscow kufanya mazoezi ya kuingia kwenye mahandaki yaliyochimbwa wakati wa USSR endapo Marekani akiamua kushambulia Urusi na silaha hizo za maangamizi. Hapa tulikuwa tunajadili Balance of Power Kijeshi sio kiuchum. Hata North Korea anaheshimika kwa kuwa na silaha hiyo pia.