Nimekumbuka wimbo wa best nasso_ MAISHA NI UTATA.
Ayaaaaa yayaaaaaaaaa eeeeee
Sina wa kumweleza shidaaaaa.......ni utatataaaaa
Hapo mwanzoooo nilikua na kibanda cha mchichaaaa.... Kilikua kigamboniii ila sio sana ila kilimudu kunilishaaaa ikapita bomoa bomoa eeeeeeee
Ukipata muda usikilizeeeee