Jagood JF-Expert Member Joined Aug 15, 2016 Posts 2,140 Reaction score 2,388 Aug 5, 2017 #1 Mi nahisi Namba 3 au Namba 4 kwa sababu Namba 3 mwanamke pekee anaeweza ingia kwenye bafu za kike! Namba 4 kwa kua hana kisu mezani kwake!
Mi nahisi Namba 3 au Namba 4 kwa sababu Namba 3 mwanamke pekee anaeweza ingia kwenye bafu za kike! Namba 4 kwa kua hana kisu mezani kwake!
S Sumu JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,015 Reaction score 6,246 Aug 5, 2017 #2 Inawezekana ni namba 2 ila hadi nifahamu aliagiza nini. Kama aliagiza chai na chapati basi ni sawa kuwa na sahani mbili.
Inawezekana ni namba 2 ila hadi nifahamu aliagiza nini. Kama aliagiza chai na chapati basi ni sawa kuwa na sahani mbili.
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,194 Aug 5, 2017 #3 Naona ni namba 3. Kwasababu 1. Anaweza kuingia bafuni ni mwanamke 2. Ameagiza Kisu cha nini na wakati naona mezani anakimiminika cha moto? 3. Hiyo handbag yake anaweza kuwa aliweka vitu vingine. 4. Anaonekana Ha- concentrate mezani kama wenzake
Naona ni namba 3. Kwasababu 1. Anaweza kuingia bafuni ni mwanamke 2. Ameagiza Kisu cha nini na wakati naona mezani anakimiminika cha moto? 3. Hiyo handbag yake anaweza kuwa aliweka vitu vingine. 4. Anaonekana Ha- concentrate mezani kama wenzake
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,066 Reaction score 39,512 Aug 5, 2017 #4 4 ndiye kaacha kisu ndani huko.
Zehoes JF-Expert Member Joined Jan 10, 2015 Posts 512 Reaction score 352 Aug 7, 2017 #5 mkorinto said: 4 ndiye kaacha kisu ndani huko. Click to expand... Umeniwahi maana kila meza hapo ina kisu lakini namba nne hakipo hivyo itakuwa amekiacha huko kwenye tukio
mkorinto said: 4 ndiye kaacha kisu ndani huko. Click to expand... Umeniwahi maana kila meza hapo ina kisu lakini namba nne hakipo hivyo itakuwa amekiacha huko kwenye tukio
safaree13 Senior Member Joined Jul 22, 2013 Posts 132 Reaction score 20 Aug 7, 2017 #6 Namba 1 haonekani vizuri Sent using Jamii Forums mobile app
Super Sub Steve JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 17,647 Reaction score 11,227 Aug 7, 2017 #7 Jagood said: Mi nahisi Namba 3 au Namba 4 kwa sababu Namba 3 mwanamke pekee anaeweza ingia kwenye bafu za kike! Namba 4 kwa kua hana kisu mezani kwake! Click to expand... Hii mada ipo mbona humu ndani
Jagood said: Mi nahisi Namba 3 au Namba 4 kwa sababu Namba 3 mwanamke pekee anaeweza ingia kwenye bafu za kike! Namba 4 kwa kua hana kisu mezani kwake! Click to expand... Hii mada ipo mbona humu ndani
username1 JF-Expert Member Joined Jan 14, 2016 Posts 267 Reaction score 253 Aug 9, 2017 #8 Killer n namba nne maana Kila Meza ina kisu hata Meza isiyo na mtu, ni yeye pekee mezani kwake Hakuna kisu
Killer n namba nne maana Kila Meza ina kisu hata Meza isiyo na mtu, ni yeye pekee mezani kwake Hakuna kisu