ashley27 Member Joined Jul 6, 2015 Posts 10 Reaction score 8 Jul 7, 2015 #1 Kwa anayejua shule ya sekondari white lake naomba aniambie mahali ilipo na details zake
R Risk vs Return Senior Member Joined Apr 23, 2012 Posts 106 Reaction score 71 Mar 23, 2016 #2 ashley27 said: Kwa anayejua shule ya sekondari white lake naomba aniambie mahali ilipo na details zake Click to expand... Hata mimi naitafuta hii shule, wewe umeshaipata ?
ashley27 said: Kwa anayejua shule ya sekondari white lake naomba aniambie mahali ilipo na details zake Click to expand... Hata mimi naitafuta hii shule, wewe umeshaipata ?
mayounger JF-Expert Member Joined Aug 17, 2012 Posts 729 Reaction score 716 Mar 23, 2016 #3 shule ipo changanyiken nyuma ya chuokikuu cha Dar es Salaam. ipo karibu na shule ya msingi changanyikeni.. au fata njia ya watu wanaoenda goba kupitia chuo kikuu na utaiona njian maeneo ya changanyikeni.
shule ipo changanyiken nyuma ya chuokikuu cha Dar es Salaam. ipo karibu na shule ya msingi changanyikeni.. au fata njia ya watu wanaoenda goba kupitia chuo kikuu na utaiona njian maeneo ya changanyikeni.
NYANYADO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 3,848 Reaction score 2,557 Mar 26, 2016 #4 Mnaulizana na kujijbu