Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,040
- 107,548
Hiv hawajui oppositon ya Tz ..unahis tungelala ..kama watoto wanakula kinyesi ...shenzi kabsa hawaNimesikia jirani akisema watoto Tanzania wanakula kinyesi, nimewaomba watuwekee ushahidi kama huu lakini ninahisi Bado hawajaamka, Ila sikati tamaa ninaendelea kusubiri.
Hahahaha
Hahahaha
Hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
kwhyo unapinga au unakataaNimesikia jirani akisema watoto Tanzania wanakula kinyesi, nimewaomba watuwekee ushahidi kama huu lakini ninahisi Bado hawajaamka, Ila sikati tamaa ninaendelea kusubiri.
Hahahaha
Hahahaha
Hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
iv ktk EAC hamna namna ya nchi moja kuisaidia nchi jirani msaada wa mahindi ? nimesikia Kenya count zaidi ya 12 zinasumbuliwa na baa la njaa nafikiri ingekuwa vyema kama nchi zingine zinge saidia nchi ya Kenya mfano UGANDA,itoe chakula kidogo, TZ nayo pia itoe mahindi kidogo ili maisha ya wanajumuiya wasipate shida
eac watulie tu...yani museven na magu wakae kimya hvo hvo tu...manake ile siku watatupa chakula kw bure tu..itakuwa balaa kule cnn na bbc....yani itaandikwa majirani wawaokoa wa kenya na kuwanusuru kw vifo....yani majirani tulieni hvo hvo tu...manake hii aibu tunayoipata sai kimataifa inatosha...msitubambikizie aibu nyingine...
serikalu haijashindwa kuwalisha watu wa turkana ni ubinafsi...pia nawashuku saba hawa akina huru wanaogop kunza kuwalisha cz itakuwa ni mazoea....
watu wa northern km mko humu ndani...waelimisheni watu wenu hko anagalau hta km wataendelea kuwa wafugaji mstuni...ila nao basi wajiongeze kiasi km wasomali...msomali anauza kidogo anatafuta ka town hta km ni kadogo anaanza biashara zake na kupata hela kw kutumia huo mtaji......waturkana badilisheni mfumo wa maisha hta km mtaendelea kuwa wafugaji...uzeni mifugo hata km ni kidogo utafute mtaji hta km ni wa kuanzia biashara mtoke hko mwituni...
hawa jamaa wengi wao hawajui pesa wala chakula ni nn...wanakomaa n maziwa na nyama za hao mifugo tu...wanasahau drought ikija hao mifugo hawaez kustahmili
A government of denials..In kenya hunger has never killed 200 persons...the govt of tz always lives i denial while here in kenya dont hide what is bad andonly show what is good https://allafrica.com/stories/201212240031.htmlTanzania has ample food stocks: BoT
Bank of Tanzania headquarters. PHOTO | FILE
By Josephine Christopher @JocfineQ jchristopher@tz.nationmedia.com
IN SUMMARY
Dar es Salaam. Tanzania had ample food in the year to January 31, 2019, a report by the central bank shows.
- In 2018, Tanzania was involved in a major sale of its food stock to the World Food Program (WFP). 31,000 tonnes of maize worth Sh18 billion was sold.
That happened because harvests were bumper in the 2017/18 crop season.
The Bank of Tanzania’s economic review for February reported that food stocks held by the National Food Reserve Agency (NFRA) on January 31, 2019 amounted to 93,037 tonnes, higher than 91,947 tonnes on January 31, 2018.
“Food supply remained adequate in most parts of the country following good harvests in the 2017/18 crop season,” it assured.
The stock remained adequate although NFRA sold food to the World Food Programme (WFP).
During his visit to Tanzania last year, WFP executive director David Beasley said the organisation planning to buy 75,000 tonnes of maize in the country for six months.
Some of crops were to be bought directly from farmers.
Early this year, deputy Agriculture minister Innocent Bashungwa confirmed that NFRA sold 31,000 tonnes of maize worth Sh18 billion to WFP in 2018.
“WFP is a major buyer of food and we will make sure we create a conducive environment for business with them for this cooperation to continue and help the 65 per cent of our population who are farmers,” he said.
Tanzania has ample food stocks: BoT
Nimeomba ushahidi ili niweze kupinga au kukubali, bila reliable evidence Sio rahisi hoja kukubalika, tafadhali tuleteeni ushahidi ili tuanze kuwawajibisha viongozi wetu ambao wanatuambia Tanzania inazalisha chakula cha ziada na kuwauzia WFP.kwhyo unapinga au unakataa
Hahahaha, endelea kujilinganisha na nchi inayoiuzia WFP chakula wakati Wakenya wanaendelea kufa Saa hiiA government of denials..In kenya hunger has never killed 200 persons...the govt of tz always lives i denial while here in kenya dont hide what is bad andonly show what is good https://allafrica.com/stories/201212240031.html
wacha kuwa mnafiki wewe...hapo najuwa unafuraha tele na hvo vifo ndio uendelee kupiga domo hapa jf km wakenya wana njaa...jiongeze bro...serikali haiwezi kuwalisha watu miaka nenda miaka rudi...mbna zipo county zengine na watu wanajituma...kiukwel hao jamaa turkana wamechangia pa kubwa katika hilo janga....jitu unakomaa na mila karne ya hii...japo serikali pia nayo imechangia lkn si kw asilimia kubwa...sasa ni UJINGA kuvumilia shinda ambayo jirani wanaweza kusaidia maana taarifa toka vyombo vya habari zinasema maeneo ya Turkana ukame utaenda mpaka mwisho wa mwezi August
always in denial...mtanzania katika ubora wake...siezi shindana na mtu aliyejitoa ufahamu...thread ilifungiliwa humu mkahepa mpka evidence leo eti hujuii...bwahaaaaaa...unafiki katika ubora wakeNimeomba ushahidi ili niweze kupinga au kukubali, bila reliable evidence Sio rahisi hoja kukubalika, tafadhali tuleteeni ushahidi ili tuanze kuwawajibisha viongozi wetu ambao wanatuambia Tanzania inazalisha chakula cha ziada na kuwauzia WFP.
Hahahaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
hku watoto wakila mafi...bwahahaaaaHahahaha, endelea kujilinganisha na nchi inayoiuzia WFP chakula wakati Wakenya wanaendelea kufa Saa hii
.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushahidi huwa haundolewi, hata ukitaka tukuletee ushahidi wa miaka hamsini unapatikana, hata wakati walipofungua uzi, tuliomba ushahidi hatukupewa, maneno yalikua haya haya unayosema leoalways in denial...mtanzania katika ubora wake...siezi shindana na mtu aliyejitoa ufahamu...thread ilifungiliwa humu mkahepa mpka evidence leo eti hujuii...bwahaaaaaa...unafiki katika ubora wake
......LDC Tanzania is busy enjoying faecesTanzania has ample food stocks: BoT
Bank of Tanzania headquarters. PHOTO | FILE
By Josephine Christopher @JocfineQ jchristopher@tz.nationmedia.com
IN SUMMARY
Dar es Salaam. Tanzania had ample food in the year to January 31, 2019, a report by the central bank shows.
- In 2018, Tanzania was involved in a major sale of its food stock to the World Food Program (WFP). 31,000 tonnes of maize worth Sh18 billion was sold.
That happened because harvests were bumper in the 2017/18 crop season.
The Bank of Tanzania’s economic review for February reported that food stocks held by the National Food Reserve Agency (NFRA) on January 31, 2019 amounted to 93,037 tonnes, higher than 91,947 tonnes on January 31, 2018.
“Food supply remained adequate in most parts of the country following good harvests in the 2017/18 crop season,” it assured.
The stock remained adequate although NFRA sold food to the World Food Programme (WFP).
During his visit to Tanzania last year, WFP executive director David Beasley said the organisation planning to buy 75,000 tonnes of maize in the country for six months.
Some of crops were to be bought directly from farmers.
Early this year, deputy Agriculture minister Innocent Bashungwa confirmed that NFRA sold 31,000 tonnes of maize worth Sh18 billion to WFP in 2018.
“WFP is a major buyer of food and we will make sure we create a conducive environment for business with them for this cooperation to continue and help the 65 per cent of our population who are farmers,” he said.
Tanzania has ample food stocks: BoT
Haha, wenzako wanakufa huko, Wewe unazungumzia mavi, huko Turkana hata mavi hawana, ukiwapelekea mavi Saa hii wanakula haraka sana.hku watoto wakila mafi...bwahahaaaa
Tumia akili Wewe, umeambiwa wazazi wao ni wagonjwa hawawezi kufanya kazi ili kujipatia kipato, sasa hiyo ina uhusiano gani na nchi kuwa na njaa?.......LDC Tanzania is busy enjoying faeces
Turkana nayo ni jangwa. Hiyo ina uhusiano gani na nchi kuwa na njaa?hata wewe tumia akiliTumia akili Wewe, umeambiwa wazazi wao ni wagonjwa hawawezi kufanya kazi ili kujipatia kipato, sasa hiyo ina uhusiano gani na nchi kuwa na njaa?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni mfumo wenu wa Elimu, Badala ya kuwapa Elimu, umewapa kiingereza, Ukabila na rushwa, unashindwa kutofautisha Kati ya tatizo la kitaifa na individual problem, sikulaumu nyanyangu nisamehe Sana. Ile safari yetu ya Zanzibar vipi?Turkana nayo ni jangwa. Hiyo ina uhusiano gani na nchi kuwa na njaa?hata wewe tumia akili