joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
Hivi hadi Leo kuna mtu toka nje ya Kenya anasafiri na KQ?, pole Zari, ila umejitakia mwenyewe, watu walishaacha kutumia KQ, kwanza ndege zao zimechoka sana, wakati wowote zitachinja watu.Wakenya habari kama hizi mbona huwa hamleti tuone
Alafu ni kama wizi ni kawaida kwenye ndege za kq So disappointed in Kenya Airlines. I've been loyal, but you always do me wrong. The other times I've ignored, but not today.Hivi hadi Leo kuna mtu toka nje ya Kenya anasafiri na KQ?, pole Zari, ila umejitakia mwenyewe, watu walishaacha kutumia KQ, kwanza ndege zao zimechoka sana, wakati wowote zitachinja watu.
His sasa ni habari mbaya, nadhani watuhumiwa watakua wameiona na kuifanyia kazi...Wakenya habari kama hizi mbona huwa hamleti tuone πππ
ATCL is a loss making super machine!
Mentality ya Jiwe cheerleaders,msiba wa mwenzako eti ndio furaha eti watafanikiwa,what a stupid move!
Ndio maana wameua mashirika madogo madogo ili wao wawe pekee yao which they do not understand ndio yataleta abiria mbalimbali kutoka rural areas to Dar for internationals!
Plus they get kodi which is more than 30% which in real terms ni 30% ownership!
Wao ni kuua kwanza then wao waanze halafu hawajui lolote!
What a shame!
Hivi hadi Leo kuna mtu toka nje ya Kenya anasafiri na KQ?, pole Zari, ila umejitakia mwenyewe, watu walishaacha kutumia KQ, kwanza ndege zao zimechoka sana, wakati wowote zitachinja watu.
His sasa ni habari mbaya, nadhani watuhumiwa watakua wameiona na kuifanyia kazi...
Mtuhumiwa namba moja ni ....@Janerosaaa njoo huku umjibu Zari the Boss Lady mano-mano....
Ni shirika gani wameliuwa? Wameliuwaje?ATCL is a loss making super machine!
Mentality ya Jiwe cheerleaders,msiba wa mwenzako eti ndio furaha eti watafanikiwa,what a stupid move!
Ndio maana wameua mashirika madogo madogo ili wao wawe pekee yao which they do not understand ndio yataleta abiria mbalimbali kutoka rural areas to Dar for internationals!
Plus they get kodi which is more than 30% which in real terms ni 30% ownership!
Wao ni kuua kwanza then wao waanze halafu hawajui lolote!
What a shame!
Hakuna biashara isiyo na faida na hasara.... lkn kumbuka iyo ndege kuwa nayo tu ni ASSET tosha
We jamaa mbona unajidhalilisha???.Ndege gani ya ATCL ilishabeba mtalii yeyote?
Kuna ndege ya ATCL inaenda EU?
Kuna ndege ya ATCL inaenda America?
Hakuna!
Watalii mnawabebea Njombe?
Stop stupidity!
kwa hiyo ww moja kati ya shida yako kubwa ni kuona ATCL inakuja Nairobi ? usiwe na wasi it will come ... mbona swala la faida na hasara ni given coz hakuna biashara isiyo na faida na hasara ..... usiege mee ktk kuangalia hasara tu ndio maana watu wana struggle kununua ndege mpya kwa ajili ya kuitafuta faida ...hata mashirika makubwa yanapataga hasara ..so we tulia tuMzee
It is a loss making super machine!
Hamlisemi hilo kwamba tunapata hasara kwa sasa!
Faida mtapata mwaka gani?
Hata forecast hamjui?
Yβall niggas are dumb as fvck!
Bombadier,bombadier my black ass...bambadier ya kwenda Njombe?
Nairobi hamuwezi kwenda,muwe munaenda totalitarian countries like North Korea,China na Russia ambapo hua hawaendagi kutalii!
Yβall are too stupid
embu elezea vyema lkn kama utakuwa unaelewa business cycle hili swala sio geni kwako...hasara sio lazima iwe kubwaaaaNdio ujinga tunakaririshwa??
Wakenya sio wanafiki na wapikaji takwimu, Wakenya vyombo vyao vya habari Ni huru, Wakenya wanajua rights/haki zao, Wakenya wanamkosoa Rais wao bila kuogopa kuvamiwa na waliovaa nguo za kijani, Wakenya wakisikia wamenyanyaswa wanaingia mitaani na kutolea Serikali fujo, Wakenya wanahoji matumizi ya pesa kwa kuwa Ni watoa ushuru, Wakenya hawafurahishwi Ni vitu vidogo vidogo Kama miradi ya kununua Ndege(Tumezipata na kukuwa nazo Ni kawaida), Wakenya wanajua athari za kutawaliwa na chama kimoja(enzi za kanu sawa na CCM ya Tanzania).
Wakenya kwa ujumla Ni wajanja kimaisha na kimasomo kuwaliko wenzao wote wa Mashariki ya Africa hivyo basi wanajielewa na sio Siri tunaposema Mkenya Yuko mbele ya Mtanzania kwa zaidi ya miaka 10. Najua myabisha na kutema matusi na povu but looking at the basics Kama vile;
Barabara- Mtoto wa Nairobi wa miaka 10 ameiona na kuitembelea dual carriageway ya lanes 12 kitu ambacho wengi wenu wazee wa zaidi ya miaka 40 hamjawahi kukiona. Mtoto Kama huyo akili zake zimefunguka kumliko mtoto wa Tz wa miaka 20.
Umeme- the last time Kenya ilikuwa na kiwango Cha umeme Kama huo wenu Ni takriban miaka zaidi ya kumi iliyopita... that's another reason why mtoto Mkenya hawezi elewa vipi Tz haina umeme wa kutosha.
Vyombo vya habari - hapa viko huru Kutangaza chochote so itakuwa vigumu kuelewa Ni vipi CCM inatawala katika vyombo vya habari ukilinganisha na Kenya ambapo tukio la mwisho Ni back in the 90s.
SGR - wakati nyinyi mnyang'ang'ana kukamilisha 200km Kenya yake tayari imekuwa ikifanya kazi for 3yrs Tena km 600.
Airlines - wakati nyinyi mnanunua dreamliner ya Kwanza, Kenya hata sikumbuki walinunua lini na ngapi Yani we have been used to Seeing KQ. Nakumbuka nilioenda advert yao nikiwa kijana mdogo wa miaka 8 that was back in 1993...Bongo mlikuwa wapi?
Bandari - Bandari ya Mombasa handles more cargo than all East African ports combined including those in lakes.
GDP - Ya Kenya = Tz+Ug+Rw+Burundi hapo Hakuna ubishi.
Elimu - Watanzania wanasomea hapa Kenya Ni wengi hata Kuna Uzi wa kusupport hapa JF.
Health - Life expectancy ya Kenya iko juu kuliko ya EAC Countries.
Ni mengi kuliko niliyoyataja but hata mkitaka kunitusi Ni sawa.
Wewe si ulete Kama uvivu hukusumbui.Hiyo Kenya uliyoiandika hapo ni Kenya ya kusadikika. Ngoja Uletewe takwimu za upigaji ndiyo utatia akili.
Formula hujaipata?πππHivi hadi Leo kuna mtu toka nje ya Kenya anasafiri na KQ?, pole Zari, ila umejitakia mwenyewe, watu walishaacha kutumia KQ, kwanza ndege zao zimechoka sana, wakati wowote zitachinja watu.
Wewe si ulete Kama uvivu hukusumbui.
Ufisadi wa 1.5 trillion Nani alikamatwa?Hiyo hapo ni kionjo tu. Watu wamepiga hela ndefu lkn hamna kinachoendelea.
Waziri wa fedha Kenya akamatwa kwa tuhuma za ufisadi - BBC News Swahili
Waziri wa fedha Henry Rotich amekamatwa baada ya kujisalimisha kwa maafisa wa upelelezi kufuatia agizo la mkurugenzi wa mashtaka Noordin Haji kuwa waziri huyo na maafisa wengine wakamatwe na washtakiwe.www.bbc.com
Kama Tz Hakuna ufisadi, mbona Nchi masikini hivo?Hiyo hapo ni kionjo tu. Watu wamepiga hela ndefu lkn hamna kinachoendelea.
Waziri wa fedha Kenya akamatwa kwa tuhuma za ufisadi - BBC News Swahili
Waziri wa fedha Henry Rotich amekamatwa baada ya kujisalimisha kwa maafisa wa upelelezi kufuatia agizo la mkurugenzi wa mashtaka Noordin Haji kuwa waziri huyo na maafisa wengine wakamatwe na washtakiwe.www.bbc.com
Kama Tz Hakuna ufisadi, mbona Nchi masikini hivo?