Mi naona lianzishwe la nyungu ili nyungu zao zikatatulike kinyugunyungu!Hivi jf hakuna jukwaa la wototo/wanafunzi??
Eti madibiraKwani aliua? Binadamu huwa tunatoa Maneno makali wakati tukigombana lakini baada ya muda unagundua ulikosea. Sasa wewe unachofanya ni utoto, pokea sim chati nae umsikilize anasemaje na umfariji. Au mnapenda kusoma neno Tanzia kila Siku? Akijinyonga je? Hebu msikilize huenda ameagizwa jambo na mjomba wako wa Madibira.
Kwamba mpunga wake upo tiyari, arudi kuvunaKwani aliua? Binadamu huwa tunatoa Maneno makali wakati tukigombana lakini baada ya muda unagundua ulikosea. Sasa wewe unachofanya ni utoto, pokea sim chati nae umsikilize anasemaje na umfariji. Au mnapenda kusoma neno Tanzia kila Siku? Akijinyonga je? Hebu msikilize huenda ameagizwa jambo na mjomba wako wa Madibira.