Which is murder between masturbation and abortion?

It seemz u av never been in a med xcul.....lyf begins juc immediately after fertilization! Hw comes umesoma phamacology afu umeruka embryology???!!!!
 
Zygote after fertilization but before 6_10 week its a cell and nakua confused na sperm naz n cell pia.so which s which??!
The first which.

6-10 weeks its a combination of two reproductive cells so called spermatozoa and ovum to form an offspring/zygote( fertilization mechanism which has 3 stage has been gone through).

While masturbation involves only a millions of spermatozoa which has been not passed through fertilization mechanism( zygote).

There is a big biological different.
 
Mbona unampa mtihani sana mkuu, hapa si unata arudi shule sasa akachimbe growth na reproduction.
 
Abortion unaua mmoja masturbation unaua millions
Sio kweli. Spermatozoa ni single celled wakati fetus tayari ni system yenye tusues na Organs. Sio busara kulinganisha. Na isitoshe ni Spermatozoa moja tu inabahatika katika kutengeneza system. 2 to 3 millions spermes sinakufa. Hata hiyo moja ni means of transport tu. Ni trajectory ya ku catapult generic material kwenye yai la mama. Generic materials zikiwa injected ile Spermatozoa inakufa na hai ingii ndani. Mastabation ni nature ya binadam hata kama mtu hataki kufanya kwa wale wenye nyege kali na hast vijana sperms zinatoka zenyewe kimawazo au katika ndoto. Kwa hiyo sioni point ya dicussion hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sikupingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…