ajabu yake ni kwamba, kwa kulingana na principles za uchumi, kwa jinsi watakavyozidi kubana majangili ndivyo bei ya pembe za ndovu itakavyokuwa inapaaa huko asia. inaweza hata ikadouble kitu ambacho kitafanya majangili wafanye juu chini kupata pembe wakauze. sijui hii vita dhidi ya majangili tufanyeje aisee. just try to imagine, ukiona wamekamata pembe za ndovu 100, ujue kuna tembo 50 wamekufa. sasa mombasa na Tanga huwa wanakamata maelfu ya pembe, you can imagine how many elephants are being killed. too bad.