Profesa JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 903 Reaction score 629 Jun 12, 2012 #1 Eti ile comercial ya mafuta ya kupikia ya Kimbo wanadai haina cholesteral lakini chakula kinachoonyeshwa kinapikia ni red meat wapi na wapi? Msitudanganye.
Eti ile comercial ya mafuta ya kupikia ya Kimbo wanadai haina cholesteral lakini chakula kinachoonyeshwa kinapikia ni red meat wapi na wapi? Msitudanganye.