Kuna haya magroup jamaniii muda wote ni group yaan hiizi smatfon zitavunja miji yaan mtu anakua busy na group utafikirii ni mama yake au mkewe,,hasa wanaumee lo badilikenii mnakeraa
huu ndio ukweli . hakuna cha kuongezea. ma group watu wanatuma picha mbalimbali kwasababu tabia zipo tofauti. cha muhimu ni ku disable automatic download