asubuhi sana JF-Expert Member Joined Mar 18, 2015 Posts 1,669 Reaction score 1,418 Aug 17, 2015 #1 Mambo najua mko poa kabisa humu ndani Samahani ! Mwenye link ya Whatsapp plus, Naomba Ntashukuru sana , nataka Simu Yangu iwe na Whatsapp mbili Asanteni Mr.asubuhi sana ,usiku mwema
Mambo najua mko poa kabisa humu ndani Samahani ! Mwenye link ya Whatsapp plus, Naomba Ntashukuru sana , nataka Simu Yangu iwe na Whatsapp mbili Asanteni Mr.asubuhi sana ,usiku mwema
asubuhi sana JF-Expert Member Joined Mar 18, 2015 Posts 1,669 Reaction score 1,418 Aug 18, 2015 Thread starter #2 Du ! Hamna jamani?¿??
Mu-sir JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 3,621 Reaction score 1,645 Aug 18, 2015 #3 Chek torrents andika whatsapp utaipata yenye whatsapp plus
kcamp JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 8,526 Reaction score 8,033 Aug 18, 2015 #4 asubuhi sana said: Mambo najua mko poa kabisa humu ndani Samahani ! Mwenye link ya Whatsapp plus, Naomba Ntashukuru sana , nataka Simu Yangu iwe na Whatsapp mbili Asanteni Mr.asubuhi sana ,usiku mwema Click to expand... ingia onhax.net af search whatsapp plus
asubuhi sana said: Mambo najua mko poa kabisa humu ndani Samahani ! Mwenye link ya Whatsapp plus, Naomba Ntashukuru sana , nataka Simu Yangu iwe na Whatsapp mbili Asanteni Mr.asubuhi sana ,usiku mwema Click to expand... ingia onhax.net af search whatsapp plus
Daata JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 4,766 Reaction score 2,076 Aug 18, 2015 #5 Unataka whatsapp mbili zote za nini?
LEGE JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 5,122 Reaction score 9,223 Aug 18, 2015 #6 hembu itafute humu jukwaani kwasababu mm ninayo na niliipata humu humu sema nimesahau post yake ilikuwa na kichwa gani cha habari
hembu itafute humu jukwaani kwasababu mm ninayo na niliipata humu humu sema nimesahau post yake ilikuwa na kichwa gani cha habari
likeness Senior Member Joined Feb 9, 2014 Posts 153 Reaction score 42 Aug 20, 2015 #7 Haiwezekani kuinstall whatsapp mbili kwa Simu moja...lkn kama wataka kutumia namba mbili tofauti kwa whatsapp/Simu moja itabidi uwe rooted
Haiwezekani kuinstall whatsapp mbili kwa Simu moja...lkn kama wataka kutumia namba mbili tofauti kwa whatsapp/Simu moja itabidi uwe rooted
Comi JF-Expert Member Joined Oct 2, 2011 Posts 3,328 Reaction score 958 Aug 20, 2015 #8 likeness said: Haiwezekani kuinstall whatsapp mbili kwa Simu moja...lkn kama wataka kutumia namba mbili tofauti kwa whatsapp/Simu moja itabidi uwe rooted Click to expand... siyo kweli kuwa lazima uroot simu, unaweza kuwa nazo mbili na zikafanya kama kawaida
likeness said: Haiwezekani kuinstall whatsapp mbili kwa Simu moja...lkn kama wataka kutumia namba mbili tofauti kwa whatsapp/Simu moja itabidi uwe rooted Click to expand... siyo kweli kuwa lazima uroot simu, unaweza kuwa nazo mbili na zikafanya kama kawaida