whatsapp plus (hide last seen) 5.05

Ingia hapa [link removed by c6] utaidownload vile vile kuna whatsappl trick,software,crack,drivers
 
Mbona ipo hiyo kitu kwenye whatsapp kitambo ya hide last seen
 
Mkuu v5.07 imetoka siku nyingi,tunasubiria nyingine ambayo haina serious crashes.
Ingia torrents uitafute.
 
imetoka mpya leo v5.10

Nilichogundua hawa jamaa wanasema wanafanya fixes za bugs and worst crashes kmbe hamna kitu.They only do very minor changes changes in each version.U ll find the previous version ina same probs ka iliopita.Sasa why dont they allow their mods team kuwa na maximum time to sort out the prob and bring something better than the earlier one kuliko kurelease hizi versions ka njugu?!
Official WhatsApp ni habari nyingine in its perfection.Huwez linganisha na Plus.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…