Ata mm kanajitokeza ila sio Mara kwa mara sema sikajalKanakera kanafanya simu kila mara ivibrate/ilie lakini ukiangalia hakuna message mpya wala nini.
Inamaanisha kuna watu wametembelea profile/ status Update yako. Hii ni kwa whatsapp mpya tu.Habarini wakuu.
Kuna tatzo nalipata kwenye simu yangu, ni kwamba kuna muda huwa nakua bizy na mambo yangu mengine sasa simu inaniletea notification ya whatsapp inayosema "YOU MAY HAVE NEW MESSAGES" lakini ukiifungua application hukuti kitu kipya. Hii kitu imekua inanikera nawezaje izuia isiwe inaniletea hicho kinotification.
Nimejaribu switch simu to silent but still kinaiforce simu ivibrate ingawa simu yangu nilishaitoa vibration (sipendelei simu kuvibrate).
Msaada tafadhali.
Huoni kuwa hujamtendea haki,badala ya kumsaidia kutatua tatizo moja kwa moja wewe una mhukumu?Ikifanya hivyo weka sim ndani ya ndoo yenye Maji kisha itoe
Hutoona tena msg kama hio..
Hii Tz yetu tueleweshane kinyumbu nyumbu tu manake mtoa Uzii huu nae nyumbu kiongozi
Waleee waleee mazumbukukuHuoni kuwa hujamtendea haki,badala ya kumsaidia kutatua tatizo moja kwa moja wewe una mhukumu?
Waleee waleee mazumbukuku