Msipende kutumia unofficial verson za software, asilimia kubwa ya hizo software hua zinakuja kama malware, wanaiba data zako wanakaa nazo bila wewe kujua, na ndiyo kama hivi unakutana na matatizo kama haya. Penda kudownload software toka playstore peke yake maana zile wanazikagua sana kabla ya kuziapprove kuziweka pale.