Dextereous
Member
- Jan 1, 2016
- 44
- 16
GbwhatsappUnatumia whatssap ipi?
Hii inasumbua naona kwa simu zote haileti notfication mpk ufungue..sijui kwa wengineGbwhatsapp
Na kwangu hivyo hivyo.Hii inasumbua naona kwa simu zote haileti notfication mpk ufungue..sijui kwa wengine
Natumia tecnoSimu gani ? km umeinstall gb whatssap kwa simu za tecno asee zinasumbua mnoo
Tecno ndo unatumia ?Natumia tecno
So what's the solution...nifanyaje maana daah inakera sanaaSimu gani ? km umeinstall gb whatssap kwa simu za tecno asee zinasumbua mnoo
kumbeeNa kwangu hivyo hivyo.
uninstall hiyo gb whatssap nenda playstore pakua whatssap ya pale sema vionjo hainaSo what's the solution...nifanyaje maana daah inakera sanaa
Hilo ndio tatizo sasa, kama kasimu kenyewe ni vile tena hoe hae hutoenjoi kabisa, disable hidden features zote ulizo ziwasha itasahidia la sivyo tumia officially app ya store...Gbwhatsapp
Unatumia ipi mkuuHilo ndio tatizo sasa, kama kasimu kenyewe ni vile tena hoe hae hutoenjoi kabisa, disable hidden features zote ulizo ziwasha itasahidia la sivyo tumia officially app ya store...
Mimi sikuizi sioni haja ya gbwhatsapp! Hizo age nilisha zivuka kitambo sana
Ok asante sanaHilo ndio tatizo sasa, kama kasimu kenyewe ni vile tena hoe hae hutoenjoi kabisa, disable hidden features zote ulizo ziwasha itasahidia la sivyo tumia officially app ya store...
Mimi sikuizi sioni haja ya gbwhatsapp! Hizo age nilisha zivuka kitambo sana
Kwel yani...ile ya playstore ipo ipo tu. Ila haina budi nifanye hivyo.uninstall hiyo gb whatssap nenda playstore pakua whatssap ya pale sema vionjo haina
Natumia official app ya WhatsApp kutoka playstore, haina bug za kifara japo feature tamu tamu za kitoto toto zile hakunaga mfn themes na vitu ka ivvoUnatumia ipi mkuu
Yah fanya ivyo, umeizidishia mzigo simu tu ndio maanaOk asante sana
Sawa mkuu na mm nitarudi huko tuNatumia official app ya WhatsApp kutoka playstore, haina bug za kifara japo feature tamu tamu za kitoto toto zile hakunaga mfn themes na vitu ka ivvo
Karibu sana hii ni ya ki gentleman bwanaSawa mkuu na mm nitarudi huko tu