Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,293
- 2,623
[emoji3] sio mbaya kama sio leo basi kesho ngoja niwe na subira hipo siku utakujaAhsante kwa muongozo, ila huko Instagram siji
Telegram is the best [emoji3451][emoji3451]Naweza kutumia Telegram hata kama sina wakuwasiliana nae na nikaenjoy chanell tofauti tofauti ila Whatsapp ukikosa member online unakua kama msukule hivi.
Nifollow tu kwa jina langu hili hili, sio lazima wewe tukufollow tu[emoji3] sio mbaya kama sio leo basi kesho ngoja niwe na subira hipo siku utakuja
Huu ni mwaka wa 7 natumia Telegram, ni store yangu maarufu kwa kutunza mafaili nikiacha Googlebaada ya kuijua telegram,nikawa nashangaa kwanini whatsapp inapewa kipaumbele zaidi,kumbe ni ujinga tu wa watu.
telegram ni kama nyangumi,whatsapp ni kama pelege[emoji23]
Duuh [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ahsante kwa muongozo, ila huko Instagram siji
Sema yakiwa mengi naonaga yanajifuta automatically yanabaki machacheHuu ni mwaka wa 7 natumia Telegram, ni store yangu maarufu kwa kutunza mafaili nikiacha Google
Sijaona hiyo feature ya kujifuta automatically kwenye TelegramSema yakiwa mengi naonaga yanajifuta automatically yanabaki machache
Wale Makamba wawili, na ile team ya Mtama hawakuijua hii mbinupia kwenye suala la secret chart
hii inampa mtu wakati mgumu wa kudukua taarifa zako ukiweka mfumo wa secret chart baadae ujumbe uweza kujifuta automatically baada ya muda kadhaa hivyo ni ngumu kudukuliwa taarifa zako.