Kwa sasa whatsapp ni kwa ajili ya simu tu. Kuweka kwenye ipad inahitaji maujanja ya ki IT zaidi na ipad yenyewe lazima uichakachue (yaani iwe jail-broken). Kama vipi hamia kwenye app inaitwa Telegram, inakuja kwa juu sana. Ni kama whatsapp na inaweza kuwa bora zaidi. Yenyewe inakaa kwenye simu, ipad, window PC, mac computers etc. Ni nzuri kwa ujumla ...