WhatsApp inakataa kudownload kutoka playstore

Ruyama

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
367
Reaction score
563
Nilikuwa natumia WhatsApp sasa nilisahau ku update,ime expire nimei jaribu kwenda playstore ku download nyingine lakini imekataa kabisa[emoji134]
Kuna documents muhimu nategemewa kutumiwa, naomba msaada nifanyeje [emoji120]
 
Download WhatsApp nyingine ingia google then search WhatsApp GB download hiyo itakusaidia muda huu maana cha muhimu ni document hapo
 
Ingia Google then search "whatsapp messenger apk" kisha download latest version. Install kisha endelea na hatua inayofuata

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
Ndg na jamaa Nina simu yenyewe Ina 4G tu hakika ipo fast ajabu shida inakula bando balaa na nineshindwa kabisa kusimamisha baadhi ya apps zisifanye kazi AMBAZO nyingi ni inbuilt nifanyaje wakuu?
 
Ndg na jamaa Nina simu yenyewe Ina 4G tu hakika ipo fast ajabu shida inakula bando balaa na nineshindwa kabisa kusimamisha baadhi ya apps zisifanye kazi AMBAZO nyingi ni inbuilt nifanyaje wakuu?
Weka data server.. Then close all notification za hzo app ambazo hutaki kuzitumia
 
Pole sana... Ngoja waje kukupa muongozo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…