Na kitu kizuri umbea ni bora!hata me nilimiss umbea
teh mm napendaga kuangalia dp za watu tuSitaki kuamini kama huusiki na kuangalia status za watu..teh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nafaidi watsup video call na status yaan ile laivu hata make up zinadunda sura mubashara.
Mapovu nimeshaanza kuyaona ila kuwashauri waache kuanika mambo yao hadharan ngumu kweli. Mtu anachamba kwenye status jiwe linawafikia contacts wake woooteee.
teh mm napendaga kuangalia dp za watu tu
stts wala siangalii
Kumbe na wew umelionaee..yani kuna watu wallah hawajui kujizuia nini upost nini uache..
Yapo yakupost wala hayana madhara kabisa.sasa unakuta mtu kasalitiwa anapost akhuuu,mara kamshika ugon mme anaandika maneno yakuonyesha kuwa yuko kwenye majonzi yakuchepukiwa!akhuuuuuuu
huwa nasoma soma [emoji23][emoji23][emoji23] moja imeandikwa najikubali kabla sijakubaliwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kunidanganya shunie..hujawahi kuchepuka kidgo ukatuangalia tustatus twa mtu nini kaandika kulingana na picha aliyoiweka!!!
teh mm napendaga kuangalia dp za watu tu
stts wala siangalii
Ten ile mpya iliboa maan ukiangalia umbea wa mtu mwenywe anapata taarifa looh nikaaacha kuangalia ila ss hiv mambo yote yapo mubashara kabisaSitaki kuamini kama huusiki na kuangalia status za watu..teh
we mwenyew mmoja waoNgoja waje