zaidi ya siku 5 sasa haipokei wala haitumi. Nimecheck stutas inaandika inaoperate normally. Nikai- uninstall then nikaidownlord tena ndio nikaaribu kabisa. Naabiwa ni verify namba yangu hazikubali ku connect. Wadau msaada tafadhali. Chief-Mkwawa na wadau wengine plz