Low Gravity Racer HD ambayo ina 3D kama una zile miwani za bluu na nyekundu, Infinity Blade na Asphalt 6. Real Racing HD kwenye
iOS 5 inakubali dual screen na TV, yaani iPad au iPhone inabaki kuwa ni controller tu. Hizi zote ni kwenye iOS Devices (iPhone, iPad na iPod Touch) Kama unataka kujaribu
iOS 5 nenda kwenye makala hii soma mpaka mwisho.
Gajetek - Gajet na Teknolojia: Uchambuzi Wetu: iOS 5 Baada ya Kuitumia