Hardtalk haiwezi kuzuia wafanya maamuzi kufanya maamuzi. Haina ushawishi upande huo, inaweza kuwa imeangaliwa na watu wengi lakini binadamu ni watu wa kusahau na matukio ni mengi.Sawa, sasa leta mrejesho wa bbc hardtalk!
Mpambano bado haujaanza ni vipi unataka mrejesho kabla pambano halijaanza mkuuSawa, sasa leta mrejesho wa bbc hardtalk!
Kwa kuuchukuwa ubunge wa Lissu , pensheni yake, na kwa kujaribu kumuua siyo tendo la kuikomboa nchi hii.Ningependa kupewa mrejesho wa bbc hardtalk iliyoangaliwa Dunia nzima na mabilioni na kuvunja rekodi, nini kilifwatia?
Kwani nijuavyo mimi Mshahara wamekata, Ubunge wametosa sijui kiinua mgongo vipi ila inawezekana pia itakuwa hola kwani nimeanza kuona wanakimbilia Mahakamani tena Mahakama yetu na siyo ya Muzungu kushitaki ilhali walitamba hawahitaji hela zetu kwamba wangemchangia, ...
Aaah hili tumbo hiliNingependa kupewa mrejesho wa bbc hardtalk iliyoangaliwa Dunia nzima na mabilioni na kuvunja rekodi, nini kilifwatia?