What will you niko njiapanda??

Maumivu anayayajua mtendewa, wewe mtenda unaona it is just fun...

Nawe ipo siku utatendewa na kuiona dunia pembeni nne badala ya mduara...

Cc: mahondaw
 
Jamaa kama imefikia hatua ya kukutafta mwanaume mwenzake, kua na roho ya kibinadam muachie atakushukuru sana na pengne ikawa baraka kwako
 
Kama kaweza huko kwako pia itakufika shilling ina pande mbili usisome upande mmoja kuna wa pili
 
kuumizwa ndo kulinifanya niwe playboy, huyo jamaa anapitia wakati mgumu sana mwachie mwanamke wake mkuu, what goes around comes around
 
Let set you straight man: yaana njoo huku kwenye Banda la mifugo nikupe darasa:
1. Huyu demu alikua hana na mpaka sasa hanaaana mauhusiano yoyote na wewe. Kwa hiyo hakuna kitu cha wewe kusema eti muachane. You are well played by her.
Huyu demu hana mpango na wewe.
2. Usije katika maisha yako mtokea demu ambaye teyari Ana mtu. Kama amekupenda mwambie akisha mwacha aliyenaye akutafute muanze jalada Lenu.
3. Mwanaume haumwonyeshi mwanamke message zako especially za boyfriend wake.
4. Kwa ufupi wewe na boyfriend mnaxhezewa hisia zenu. Na mbaya zaidi ni wewe kaa mbali na huyu demu.
 
I Met a lady... kwa mara ya kwanza nikadhani she is just a woman to have fun with kwa hiyo haikua kitu serious, hakuna alietaka kujua situation ya mwenzake ya kimahusiano sababu we were just having fun

Baada ya muda mambo yakawa tofauti, nikaanza kumchukulia serious... Nikataka kufahamu kuhusu yeye na nikagundua alikua na mtu, yeye pia akabadilika she started being concerned tukakubaliana tuvunje mahusiano tuliokua nayo sababu within months tumekua na furaha and we really get along!!

Nadhani jamaa yake aligundua within time kwamba the lady was seing somebody else, kanitafuta contact zangu kazipata

The guy is begging nimuachie kwamba she have a plan with her na wanafuture pamoja, he is desperately begging na kunifanya nijisikie guilty... Nilipojaribu kumshirikisha demu she says she is staying with me!!

I have grown fund of her and I think we were building something so strong

Naombeni ushauri maana at the other side sms za jamaa zinanifanya nijisikie vibaya sana!
Muache mwenzio apate raha na mpenzi wake, karma will punish u
 
ningeangusha essay kutokana na experience ila let me direct to the point

achana na huyo mwanamke/ wape mda waite wote wakalishe waambie wajaribu kusolve waendelee pamoja watakie kila la kheri / vunja mawasiliano kwa muda japo 6 months na huyo mwanamke...
amini na kwambia kama wako wako tu atarudi mbeleni ila sio now wakati mwanamke hajisomi anakua na infatuation kutokana na kuumizwa na huyo jamaa yake...
 
I Met a lady... kwa mara ya kwanza nikadhani she is just a woman to have fun with kwa hiyo haikua kitu serious, hakuna alietaka kujua situation ya mwenzake ya kimahusiano sababu we were just having fun

Baada ya muda mambo yakawa tofauti, nikaanza kumchukulia serious... Nikataka kufahamu kuhusu yeye na nikagundua alikua na mtu, yeye pia akabadilika she started being concerned tukakubaliana tuvunje mahusiano tuliokua nayo sababu within months tumekua na furaha and we really get along!!

Nadhani jamaa yake aligundua within time kwamba the lady was seing somebody else, kanitafuta contact zangu kazipata

The guy is begging nimuachie kwamba she have a plan with her na wanafuture pamoja, he is desperately begging na kunifanya nijisikie guilty... Nilipojaribu kumshirikisha demu she says she is staying with me!!

I have grown fund of her and I think we were building something so strong

Naombeni ushauri maana at the other side sms za jamaa zinanifanya nijisikie vibaya sana!

Hutaki ushauri ww.
Ungekuwa unataka kwl ushauri usingetabaguwa sisi tusiokwenda shule mana hatujui ki'English':D.
yamalize mwenyewe hyo (Pambana na hali yako)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom